Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Mfano ukiwa na girl friend wako au ukiwa na mkeo ni aina gani ya utii mwanume anahitaji mke wake awe nao kwake, kuna mambo ambayo wanaume hawapendi waulizwe akiulizwa tu anasema huyu mwanamke sio mtiifu kwangu, kuna mengine wanaume hawataki kuulizwa kwanini, wanaume hawataki kurekebishwa, asiulizwe swali anakuja juu, asikosolewe anakuwa mbogo.
Kwenye mahusiano je ni wangapi wanafikiri swala hili la wao kutaka wawatii linawakera sana.
Je wanawake na nyie mtapenda waume zenu wawatii, wawasikilize na kutekeleza kila muwaambiacho. Hii habari inawezekana mjini tu au vijijini tu.