Bora ukutane Na chatu, sio mwanamke chawi

never Se me

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
702
Reaction score
1,013
Na amini dunia ilikuwa sehem salama Ila alipo letwa mwanamke mambo yote yakawa yalivyo Sasa,
Kuwa mama Bora,sikufanya wa toto wamchukie baba yao, Bora kuishi Na mwanamke -MALAYA Ila sio mchawi,
Fikili machungu anayo yapata mwanume aliye fungwa nyeti zake zisifanye kazi kwa wanawake wengine, ni maumivu kiasi Gani anayo yapata mwanume aliye chafuliwa sura, kiasi kwamba ata -MALAYA wa kununua anikatae,

Maumivu kiasi Gani anayo yapata mwanume uliye mchawia ashindwa kupata pesa , akipata ni ya Kula tu.

Pengine duniani nilikuja kufanya nini, unaweza ukasema kwa nini nilizaliwa Na wazizi Kama nyinyi,

Inafika atua unatamani kumuliza baba yako, kwanini alifunga ndoa Na mama, alipo gundua mama mchawi,mdomo wa ovyo, kisilani, si angemuacha ili Mimi nisizaliwe kwenye matatizo Kama Aya, ANGEFANYA NINI IKIWA MAMA ALIMFUNGA ASIWEZE ATAKUPATA MCHEPUKO

KUWA MAMA BORA SI KUWAFANYA WA TOTO WA MCHUKIE BABA YAO
 
Halafu utafiti wangu umenionyesha hivi: ukiwa siyo mchawi ni lazima uoe au uolewe na mtu ambaye siyo mchawi pia. Mchawi na asiyekuwa mchawi huwa hawawezi wakachanga kitu kikakubaliana! Mchawi lazima huwa anaenda na mchawi mwenzake, na asiyekuwa mchawi naye anaenda na asiyekuwa mchawi mwenzake. Hata hivyo kunaweza kukawa na pairs za mchawi na asiyekuwa mchawi, lakini zitakuwa ni rare!
 
Back
Top Bottom