Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"It was never meant for you"! Kama ipo ipo tu, fanya jitihada lakini usilazimishe, unadhani wewe ndio utakuwa wa kwanza?? au wewe ndio utakuwa wa mwisho?? Look my brother/sister, love yourself...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu simba naona ametamalaki sana huku mtandaoni.... Bila shaka kila mmoja amekubali namna simba anavyommnyoosha mkewe...hapo dharau haiwezi kuja kwenye mahusiano.. Kutamalaki kwa hii picha...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu. Nawasalimu sana. Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi "Naomba Ushauri Wenu Tafadhali". Nina mchumba ambaye nimekwisha posa na kujitambulisha nyumbani kwao. Tumepanga...
1 Reactions
107 Replies
8K Views
Taifa hili limekumbwa na matukio ya kila uchao na haya matukio ukisikia yanasimuliwa au kuandikwa au kutangazwa yanasikitisha Wanaume wamegeuka majoka kama jamii inavyowatafsiri au wauaji au...
11 Reactions
158 Replies
8K Views
Mimi sasa ni kijana tuu. Wala siwezi jisifu kwa lolote kwa maana ndio kwanza nafika robo ya Miaka mia moja. Lakini isikie sauti yangu. Nawe yashike maneno haya upate kuishi. Lakini sasa wanawake...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Wanaume wenzangu leo napenda kuwashirikisha namna ya kukwepa vizinga kwa mchumba, demu, mchepuko n.k. Katika maisha yako epuka kujibu maswali yafuatavyo kutoka kwa michepuko; 1."Mambo mpenzi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
#Malezi Did You Know? Unthinkable as it is, research reveals that the home is the single most violent place in society. Family violence touches all kinds of families, including religious homes -...
0 Reactions
5 Replies
895 Views
Wakuu nisaidieni Ushauri wa kimawazo mdogo/rafiki wenu nimekuwa na mapenzi ya kupitiliza na simu yaani Sasa imekuwa too much. Haipiti dakika tano sijachungulia simu yangu kuona nini kinaendelea...
4 Reactions
22 Replies
45K Views
Swali kwa Wale ambao wako kwene strong relationship hasa kuanzia mwaka na kuendelea Hivi unawezaje kuwasiliana na mpenzi wako kila siku? Na mnapo wasiliana huwa mnakua mnaongea nini hasa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Shilingi 20 tu ilifanya nionekane shujaa kwa kumnunulia mtoto wa afande Mwakipesile hili tunda,basi ndo ikawa mwanzo wa mahusiano yetu,kuhonga tumeanza zamani sana.
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Straight to the point Miaka kadhaa nikiwa advance shule X nilikutana na jamaa aliyekuja kuwa rafiki wa karibu sana. Sasa hii shule ilikuwa ni ya boarding halafu wanaume tu. Waliosoma hizi shule...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
I must speak the thruth guys. Let me tell you something. We are in jamii forum so many things happens like love friendships and cruels and much more But for sure there is no love in here lets...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Helloww guys💁‍♀️ Last weekend nilikuwa mahali fulani hivi na rafiki zangu wawili wa kike ni katika kubadilisha mawazo na ku-share experiences mbalimbali za kimaisha na changamoto zake,.lakini...
6 Reactions
127 Replies
7K Views
Hii inaweza ikawa furaha hasa kwa wale Tim vipisi aka vibamiaa, kma huu utafit utakuw ni wa kweli. Ndugu zangu Wanaume msiogope maneno ya galz kweny social medias mbalimbali hta humu Jf wanawake...
7 Reactions
109 Replies
15K Views
Habari ya wakati huu wakuu wangu wq nguvu.baada ya game shahawa kuanza kutoka kwa mwanamke na kunuka ,pia tumbo kujaa gesi ,shida hapo ni me au ke?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Asee kina dada wametisha.mtu anataka akuchunge kama vile ww ni mwanafunzi hasa hawa shombeshombe hatar. Huu usiku wa saa saba nilikua zangu jf nachangia mada mbalimbali.mara ghafla bin vuu bibie...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Hicho ni kilio cha swaiba wangu wa karibu anaomba msaada, Huyu mdada ana mume na maisha yao ni mazuri ya wastani, amezaa watoto 2 na mumewe cha ajabu anamtaka jamaa yangu ambaye ki umri ni...
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Wakubwa habari! Mwaka mmoja niliitembelea familia moja hukooo wilaya moja mkoa wa Singida. My friend had a lovely family. Alikuwa na kids 2. On my stay there kuna kitu sikuwa nimekielewa, mama...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wana MMU jana nimekutana na msichana mmoja ile kuongea nae kumbe ana kigugumizi nikajikuta napenda anavyoongea verry romantic. Napenda nioe mwanamke mwenye kigugumizi.... kabla hajamaliza...
5 Reactions
10 Replies
860 Views
Uzuri wa nyumba sio milango wala madirisha, uzuri wa nyumba ni mwanamke na sio kingine, kama nyumba yako itakuwa ina mwanamke mwenye maneno mazuri, hekima na busara, tabia njema, mwenye kujali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…