Mwanamke mwenye kigugumizi ananivutia

Mwanamke mwenye kigugumizi ananivutia

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Wana MMU jana nimekutana na msichana mmoja ile kuongea nae kumbe ana kigugumizi nikajikuta napenda anavyoongea verry romantic.

Napenda nioe mwanamke mwenye kigugumizi.... kabla hajamaliza kuniomba ela ya saloon mimi huyoo nimeshafika kazini
 
Da Mange atakufaa wewe.
 
Nahisi anapokuwa na hasira anaweza kukuchapa kofi kwani kwa maneno ni obvious utamshinda...
 
Back
Top Bottom