Wanaume tunakwama wapi

Wanaume tunakwama wapi

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3,517
Reaction score
9,452
Huyu simba naona ametamalaki sana huku mtandaoni....

Bila shaka kila mmoja amekubali namna simba anavyommnyoosha mkewe...hapo dharau haiwezi kuja kwenye mahusiano..

Kutamalaki kwa hii picha inaonekana kuna mahali wanaume tunakwama....

Hebu tujipange upya na dada zetu watatuheshimu.

Heshima chumbani lazima iwepo.
tapatalk_1558886707698.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom