Dah wanandugu kinadada wana tabu sana eti kisa jf nimeachika aisee hi hatar.

Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,155
2,573
Asee kina dada wametisha.mtu anataka
akuchunge kama vile ww ni mwanafunzi hasa hawa shombeshombe hatar.
Huu usiku wa saa saba nilikua zangu jf nachangia mada mbalimbali.mara ghafla bin vuu bibie kaamka akanitext watsap.kaanza na complain."wewe hadi hii saa saba uko macho unachat na nani"bibie jf haitambui kila nikimweleza anapanic basi kanipa divorce bhana.
Asa kina dada haki kweli hii unamuuliza mtu mzma saa saba anafanya nn online.Eti ku react huku kwema kweli.Hawa wanawake shombeshombe wana wivu hadi kwenye vuzi sio poa .
Wana jf najitangaza bhana.natafta mchumba nimeachika kisa jf bhana. nisibak lonely nikapiga puli bure.kama kuna mdada 20 to 25 years anitext pm tuyajenge.
 
Kwani ulikua unachati na nani mkuu?
 
Una umri gani?
 
Humuhumu shombeshombe hakuna lakini

pole sana mkuu,mcheki
@zeroiq atakusaidia
 
Umenikumbusha lile tangazo la zamani la KIWI, embu jitokeze, simama, mbele za watuuuuu
 
Back
Top Bottom