Baada ya tendo

Baada ya tendo

pastor muyamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
252
Reaction score
135
Habari ya wakati huu wakuu wangu wq nguvu.baada ya game shahawa kuanza kutoka kwa mwanamke na kunuka ,pia tumbo kujaa gesi ,shida hapo ni me au ke?
 
Na me msiniache[emoji125]🏽‍♀️[emoji125]🏽‍♀️
 
Habari ya wakati huu wakuu wangu wq nguvu.baada ya game shahawa kuanza kutoka kwa mwanamke na kunuka ,pia tumbo kujaa gesi ,shida hapo ni me au ke?
Sasa kiongozi kama umegundua kuna hiyo changamoto hakikisha wakati wa shughuli unakuwa na kakonyagi pembeni kakuondoa gesi. KARIBU SANA NA USISAHAU KULETA MREJESHO
 
Labda huwa hajisafishi vizuri ,ahakikishe anatoa shahawa zote kwenye papuchi
 
hapo shida ipo kwa mtoa mada na sio kwa mwanaume wala kwa mwanamke.
 
Habari ya wakati huu wakuu wangu wq nguvu.baada ya game shahawa kuanza kutoka kwa mwanamke na kunuka ,pia tumbo kujaa gesi ,shida hapo ni me au ke?
Mkuu weka hata ka audio kidogo maana ulichoandika bado unakielewa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom