Nimekaa hapa katika kuangalia makarabrasha yangu nimekutana napicha zampenzi wangu angali akiwa bado msichana wakati bado ajazaa nimejikuta nimeanza kumpenda tena nakumuhamu. Ama hakika alikuwa...
Kwa observation niliofanya mtu alieowa, (akimiliki usafiri ni added advantage ) ana nafasi kubwa zaidi kukubaliwa na mpango kando (mchepuko) anapotongoza.
.
.
Sababu mojawapo ni hizi zifuatazo...
Kama mada inavyosema, kumekuwa na malalamiko mengi ya watu walioko kwenye mahusiano au wenye wenzi wao wanaofanya kazi katika mahoteli hasa ya porini kwenye mbuga za kitalii, na pia kwa yaliyoko...
Habari zenu wana jf,MMU
Leo mwanakijiji mwenzangu ameamua kujinyonga et kisa kagombana na mkewe!!
Sasa nashindwa kuelewa ugomvi tu ndio ujinyonge? Nadhani huenda jamaa alijuwa kuwa anagongewa...
Habari za eid
Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu.
Lakini binti...
Baada ya vurugu za hapa na pale ,mpezi wako anaenda kuichomoa mimba ya miezi mitatu bila wewe kujua,siku mbili baadaye anakuja maskani kwako anakukabidhi Tsh 50,000 mkononi,unamuuliza hii pesa ya...
Jamii imeweka sheria isio rasmi kuwa ili mwanaume aweze Ku fit in lazma awe na kazi au biashara nyumba, mke na watoto..Kwa mwanamke si lazma awe na kazi biashara na nyumba, kikibwa aolewe, azae...
A. Kulumbana Sana
B. No sex
C. Kucheat
D. Kukosa muda na mpenzi wako
E. Pesa
F. Mahusiano yalikua yana boa
G. Addiction ya vilevi au madawa
Naomba kuwasilisha
Sijui ni toka zamani au siku hizi mwanaume akikutongoza anataka umkubali sasa ukimkataa atajilalamisha jamani.
Mara ooh au kisa mimi sina pesa au au kisa mimi mfupi au kisa mimi sio mweupe etc...
Yaani kila mtu na hisia zake. kwakweli napenda mwanamke mwenye K... kubwaaa na Juice yakutosha.... hao wengine unakuta mnasuguana hadi inakauka unaumia siwapendi....
Yaani ukipata ile umeiandaa...
Wakuu leo nimewaza sana hili suala la mimi kwenda kuoa, kiukweli sitakuwa na ule uwezo wa kutoa cash money yaani ile pap nitoe milioni 2 huku naitazama hapana,
Ila nina mpango siku ya kwenda...
Mwaka 2000s nlikuwa nafanya masters udsm. Nlikuwa na chumba main campus but nlikuwa naishi na jamaa mmoja mlokole sana yaani ilikuwa ngumu kuingiza mademu mle room. Na nlikuwa naheshimiana naye...
Habari za asubuhi wakuu,
Tumaini langu mmeamka salama salmini na wale wenye matatizo ya afya, au mambo mbali mbali ya kimaisha basi mola jalali awape takhfifu na afya njema.
Nimefatilia nyuzi...
Mi ni mwanaume natokea nyanda za juu kusini, umri wangu uko ukingoni mwa 20's najitokeza kutafuta mwenza wa maisha ambaye yuko tayari na serious dini yangu mie mkristo, elimu ya kunitosha...
1st year
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita " Bestfriend" nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani...