Eti ni sahihi kupunguza mawasiliano na mke wako mtarajiwa baada ya kuona maisha yatakua magumu kutokana na kuwasiliana sana. Ili nguvu iamie kwenye maendeleo kwa muda wa wiki 2 au 1.5 . pia...
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!
2. NDOA YA MIHEMKO...
Wapendwa ni matumaini yangu mpo wazima na mko vizuri katika majukumu yenu
Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake...
Wadau,
Tangu nimezaliwa nimeona ndoa mbalimbali za ndugu zangu, marafiki zangu na hata mpenzi wangu, mke wako na mama yako kamwe huwezi kuta kuna amani yaani lazima kuna ka beef hata kama ni...
For men tell us the truth what styles do you want a woman to stay in bed in order to enjoy SEX ??
As for Ladies what type of guy you will fall for him and give him what he want??.
Ladies and Gents...
Bismillah Rahman Rahim
Asalaam Alleykum,warahma'tullah Wabarakatul.
Baada ya salaam hiyo ndugu zangu ninapenda kukukumbusheni hasa Wanaume , mashabaab wenzangu kuzingatia yale ambayo amekuwa...
Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu...
Hivi uliwahi kukutana na challenge ya kuwakosea au kuwakera wanajeshi...au ukaingia kambi yao kimakosa...?
Nikupe tu Hint...
Endapo ukaingia kimakosa kambi...
Wana eeh leo tutiririke kwa hawa viumbe mambo ambayo wanatutendea hayatupendezi sie,shetani, wala God
Bila kujivunga wala nini tuwachane maana najua watasoma na wakisoma watabadilika tu...
Kama tunavyo jua UKIMWI ni gonjwa hatari mnoo na virusi vyao ukaa kwenye damu na na kwenye maji maji ya mwilini endapo hiyo sehemu kuna mchubuko ama kidonda hivyo yale maji maji eg ya ukeni n.k...
Nina kama siku tatu tu ndio sijapiga mzigo, nikasema ngoja sasa nipumzike niwe busy kwenye kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi,
Sasa usiku wa kuamkia leo nimelala ile night kali...
Habari za jioni wana jukwaa.
Ni hivi kwenye ofisi ninayofanya kazi tuko watumishi kama 15 hivi,kati ya hao wanawake tuko saa watano pamoja na ps,walobaki ni wanaume.
Basi kuna kipindi tulipewa...
Naomba msinisute huo ndo ukweli sema kinachoua soo..ni kua inakua makubaliano yenu wawili kati ya mke na mume kwa kuhofia aidha km mna mtoto mdogo au hamko tayari kupata mtoto kwa wakati huo
Nna...
Kuna wakati waweza dhani kuwa ni swali la kitoto,au kipuuzi vile.Hakika nashindwa kuelewa kabisa juu ya uumbaji wa uke.
Kuna wakati nawaza,hivi Mungu alifikiria nini hata akaumba kitu kitamu...
Habari wanajamvi. Hapa nitazungumzia baadhi tu ya haki za mke kutoka kwa mume ambazo aidha miongoni mwetu hawzifahamu ama wanazifahamu lakini hawazitekelezi. Kutimiza haki hizi kutaongeza mapenzi...
Jana nilikua kituo flani hivi cha daladala jamaa wa Ukwaju akapitisha kideli chake kuna na watu wakanunua mmoja kati yao aliyonunua alikua Me akaifungua na kuanza kula ila style aliyokua anaila...