Kuitafuna na kuitamani ipi ina Raha zaidi

Kuitafuna na kuitamani ipi ina Raha zaidi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Eti wakuu kati ya Kuitafuna na kuitamani ipi ina Raha zaidi?


Refer;
Ukiitafuna inaisha hamu ila ukiitamani hauishiwi na hamu.



C Zero iQ
 
Ukiitamani itakushawishi uitafune,na ukisha itafuna unakuwa umejua raha yake;ndio maana uji mzito hulazimishwa kutoka kwa kuitafuna
 
Kuitamani ni matumizi mabaya ya dhambi, bora uitafune kabisa.
Eti wakuu kati ya Kuitafuna na kuitamani ipi ina Raha zaidi?


Refer;
Ukiitafuna inaisha hamu ila ukiitamani hauishiwi na hamu.



C Zero iQ
 
Back
Top Bottom