Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

SITAKI DAWA Jumamosi, 25/06/2016 Nawaza nianzie wapi kuelezea kilichonikuta nashindwa, lakini hasa ni kukosa maneno ya kukielezea. Nimetamani nikae kimya, nisiseme, maana ninafahamika na wengi...
60 Reactions
579 Replies
70K Views
Currently married, am curious,who is responsible to select names of offsprings
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Habarini Wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada, Speaking honestly kwa ninayoyaona na kuyasoma kuhusu Ndoa yananikatisha tamaa na kunifanya niwe negative minded though we all know kwamba ndoa ni...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
bado natafuta
0 Reactions
5 Replies
925 Views
Jamani nilisahau kuwaambia nilioa mwezi wa kumi na mbili. Nimeona nitulie tu maana hizi papuchi haziishi utamu kadri unavozila ndio unapata hamu zaidi. Sasa najiuliza ni mwanzo tu au nitegemee...
3 Reactions
124 Replies
17K Views
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu...
25 Reactions
47 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo afrika ya kati nafanya biashara natafuta mchumba nyumbani tz Sifa zake 1.awe anajielewa 2. Awe mkristo 3.ata km Ana mtoto 1 sio mbya maana ata mimi ninae.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natumaini wakuu hamjambo kabisa. Mimi ni baba wa watoto wawili wote jinsia ya kike. Namshukuru Mungu kwa kunijalia kupata wrembo hawa ila kuna kitu ningependa kushare na nyie wenzangu. 1...
17 Reactions
138 Replies
14K Views
Jamani kwa mfano umeoa mke mmeishi miaka zaidi ya mitatu na hajawahi kukwambia kuwa ana Virusi vya UKIMWI halafu siku unapata habari kwa marafiki zake anavyojinadi kuwa anao ila hawezi kukwambia...
4 Reactions
82 Replies
8K Views
Kuna ndugu yako anayekutafuta hapa Kulikuwa na mfalme mmoja aliyekuwa na mbwa kumi wakali sana. Alipenda kuwatumia mbwa hawa pindi akitaka kumuadhibu mtumwa aliyekosea. Mbwa hawa waliwatesa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauliza tu jamani maana mi ndoa yangu 5yrs now hakuna Baby,ila washauri ni wengi mno. wanayonishauri mengine sijawahi hata kuyaona au kuyasikia ila mi ni mgumu sana kufuata ushauri.....Wana J.f...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Salaam Jf Siku zinaenda, umri unasonga na uzoefu unajengeka. Kama mwanamme halisi... uzoefu unanionyesha hata chanda kiwe hot kiasi gani, ukipita ule muda wa fantasy period anakuwa wa kawaida...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu wanashida kama mimi mnatukejeli na maneno yakujishaua mnayatoa sasa kumuhitaji mganga ni mbaya ?? Mnajua ila kuja PM NDIO TABU KUWAELEKEZA WENGINE ACHENI ROHO MBAYA
0 Reactions
3 Replies
869 Views
samantha doll...hakuna tena kuoa hapa warning: explicit content
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari wakuu Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22] SITOMWAMINI MWANAMKE TENA Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio...
44 Reactions
571 Replies
40K Views
Habari wana jf, Eti nasikia mods wamenipa ban!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo tumepata mkasa wa brother katika ukoo kumgegeda mtoto wa shangazi yake kwa siku tatu! kwanza tunamlaumu sana binti kwani yeye alikuwa...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Ishu ipo hivi.... Mwaka jana nipo Mawasiliano (SIMU 2000) nkakutana na mwanafunzi wa School of Law, tubadilishana namba mawasiliano yakaanza. Tukaanzisha casual relation, au labda niite friends...
3 Reactions
137 Replies
15K Views
Hili suala tulisikie tu jamani. mdogo angu kabisa yamemkuta. Ipo hivi; mdogo angu alikuwa na mpenzi wake aitwae ireen. walikorofishana mwezi juni mwaka 2018 wakaachana. Mwezi novemba mwaka 2018...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future. . Jitu...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wana jf, Kulingana na kichwa uzi wanawake wenyewe ni kama wafuato:- 1:Sura mbovu kama au sura kama lemi ongala 2:Awe jimama yani nalichinjilia mbali! 3:Awe ameweka picha yeyote ya...
2 Reactions
86 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…