Watoto wengi wa kike siku hizi wanatapeliwa kirahisi sana miili yao kwasababu kuna maneno wanayoambiwa na boys ambayo nyumbani hawaambiwi. Sasahivi imezoeleka kuwa maneno kama "NAKUPENDA"...
Ila sisi wanaume tunadhambi sana mdada wa watu anajitahidi kwenye kitanda akuonyeshe mautundu kwa ahadi ya kufunguliwa pharmacy baada ya kuzaa pharmacy ndio hio hapo chini sasa🤣🤣🤣👇👇👇👇
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Poleni kwa kuchoma mahindi, la kumshukuru Mola leo tumeendelea sio kuendekeza lawama za kwanini nilipotea.
The Gay Client.
Sasa nikiwa na muwaza huyu mtu mzima...
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki...
Kwenye harakati zako za kufukuzia mrembo, ulitumia muda gani mrefu kumpata Demu?
Mm binafsi nilimfukuzia Demu kwa kipindi cha miezi 4, tena alikuwa ananionesha dalili za kunikubalia.
Yani ile...
Habari za muda hope mko poa
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila...
Miaka inasogea, teknolojia inapaa, lakini ndoa na mahusiano kati ya wanaume na wanawake yanazidi kuyumba. Na hapa sina haja ya kuchagua maneno mazuri: hii siyo ajali ya ghafla, ni kosa la kurudia...
Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa
Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano
Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa...
Habari wana JF
Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha.
Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri...
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha...
Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje
Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi...
Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔
Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu...
Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago
Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time...
Mimi ni kijana wa miaka kadhaa sijaoa lakini nilikua na mpenzi ambaye sasa tumetengana kwakua kaolewa na mwanaume mwingine. Iko hivi mwaka juzi mpenzi wangu alipata nafasi ya kwenda chuo, mimi...
Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi
Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu...
Habari wakubwa naona siku hizi ndoa zimepungua sana hata ile michango ya harusi ilikuwa kama ni lazima wakati ni hiyari ukiangalia pia vijana wana left group na wanazidi kupunguza idadi changamoto...
Nina mpenzi wng ambae tulikuwa tunapendana sana, ni mwanamke ambae amekuwa akinionyesha maana halisi ya upendo wa dhati, amekuwa akinipenda na kuniheshimu sana tu na hatujawahi kugombana tangu...
Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina.
Kimapana na kimarefu huwezi.
Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi...
Kanisa la Free Church chini ya Mchungaji Masanja Mkandamizaji limeandika historia mpya ya kipekee baada ya kushuhudia uchumba ulioacha wengi midomo wazi na wengine wakibaki na mshangao.
Kauli...
Dada wa kazi wa jirani alikuwa mrembo sana. Binti mashallah ustadhati kabisa.
Nilizoeana naye ilibaki kidogo tu ni mueke ndani kama mke.
Naamini alinisubiria nimtakie kwamba nitamuoa ila...