Umri Wang miaka 32. dini mkristo .ni mfanyakazi? nahitaj mke awe mrembo.dini mkristo .umri 23 hadi.28 .awe mwenye kujiheshimu .ambaye Yuko serious anicheki pm
HELLO,
For times now I have beeing asking a question or hear people asking why is it so hard for women to treat a man as a man or husband. whereby I did some research of my own talking...
Ni hivi;
Tambua kuwa ni dhambi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke/mume wa mtu hasa kwa Wakristu (rejea amri kumi za Mungu, hasa ile ya 6 na 9, Waebrania 13:4).
Ni ukweli usiopingika kuwa...
Mi sijui wadogo zango mna fail wapi... naumia napoona wanaume wanalalamika kila siku nikiwaza hivi mdogo wangu atakuja kupata mke kweli?
sisi utamu wetu miaka ya nyuma ulichagizwa na mambo mengi...
Wakuu,
Kwa siku za hivi karibuni nimekumbwa na hali nisiyoifahamu,
Kila nikifanya sex baada ya tendo naishiwa nguvu kabisa,
Kipindi cha nyuma kama miezi miwili iliyopita nilikua nafanya sex kila...
Yani Hapa huwa nashangaa , ladies msome functionality za sites mbali mbali..... yani Site ni mahususi kwa ajili ya dating ila huweki effort yoyote pindi unapokuwa txtd. Kwanini ulijiunga sasa...
wooorap! am back!
natumia keyboard kuwapiga mkwara wasionifahamu mimi ni Chalii R napatikana kila kona kama kaya, hadi ulaya mwanao nina himaya.
mimi ndimi.
ebbanae nasikia wanawake ambao...
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though...
Ndugu wanajamvi natumaini ni wazima wa Afya Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Wengi katika Wanawake siku hizi wameshindwa kujua nini maana ya neno ndoa. Wanadhania ndoa ni kupika na kufua...
Waungwa naomba kusema nanyi..
Waungwana,
Wanawake wengi wanaangalia video za ngono, huu ni ukweli usiojulikana kwa wengi. Naweza kusema kati ya wadada 10, 6 kati yao simu zao zina video za...
Kuna Siri gani Kubwa ambapo mkiwa Mapenzini ( Ngononi ) na hasa wakati ule Mshindo baina yenu unakaribia ( namaanisha mnakaribia Kukojoa ) kuna Maneno ambayo huwa mnayatoa na ni ya ajabu ajabu...
Ukioa mwanamke mwenye chura kubwa halafu mkabarikiwa kupata watoto. Mkipata mtoto wa kike ur safe but mkipata mtoto wa kiume there will be two things involved. It either mtoto huyo afuate sura na...
Makabila yalitojwa humu yote yananihusu, waweza ona vinasaba nilivyonavyo...... K' Moja Mtata.
Waume ni wadodo, watumba ni wadodo, mamia mwai ni mdodo..... auma uma.....
Wabwanga nnanao, wandee...
Aisee hakuna stress kubwa kama umependa wanawake na ukaamua kumtongoza kwa maneno kapambe kuwa upo single for a long time na blalabla kibao lakini kabla hajakukubalia unaona amepost status yake...
Ushauli wenu wana JamiiForums,
Ni miezi 8 sasa nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke ambaye mwanzo nilifikiri angefaa kuwa mke wangu, nilikuwa sijui kuhudumia mwanamke kwake nimejifunza...
Nina experience kubwa sana ya ajira za watu binafsi
Nakuambia hivi usije tegemea ajira ya mtu binafsi,usitegemee kuajiriwa hata kama unalipwa trilioni utanyanyaswa tu,utakosa...
MDOGO WANGU ANAHITAJI MSAADA WAKUU,
Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 20-25 mwenye asili ya mmoja ya wapo ya kabila kubwa la nyanda za kaskazini nchini. Ni kijana handsome boy (huambiwa...
Juzi kati nikiwa naangalia mpira wa AFCON kwenye Pub iliyo karibu na makazi yangu hapa kupitia SuperSport baada ya Azam Tv kukinukisha kufuatia msiba wa wafanyakazi.
Kwenye hii Pub kuna Bamaid...
Salaam wana MMU,
Niko kwenye mahusiano yenye malengo miaka 2 sasa,huyu mpenzi wangu nampenda maana ana sifa nyingi nzuri ila tu ana asili ya unene (thick woman) na mfupi afu mi ni mrefu na...