Ushauri: Nione au nisioe?

Ushauri: Nione au nisioe?

Financial Freedom

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
1,250
Reaction score
2,314
Salaam wana MMU,
Niko kwenye mahusiano yenye malengo miaka 2 sasa,huyu mpenzi wangu nampenda maana ana sifa nyingi nzuri ila tu ana asili ya unene (thick woman) na mfupi afu mi ni mrefu na mwembamba (slim man) yaani nikitembea nae siwezi mshika kiuno zaidi ya kuweka mkono begani,hata kumkumbati kichwa chake kinaishia kifuani tu.
Katika vigezo vyangu vya mke wa ndoto zangu napenda awe mrefu na mwembamba but huyu nilimkuta bikra nikachanganyikiwa nikaingia kwenye mahusiano je niendelee nae mpaka ndoa au maana hizo sifa mbili tajwa hapo juu naona kama ni changamoto yeye kuwa mke wa ndoto zangu...
 
Weka picha yake hapa..mcrop shemeji kichwa kisionekane
 
Usipo muoa wewe unataka aolewe na nani?, weka ndani hiyo chombo ya fundi.
 
Salaam wana MMU,
Niko kwenye mahusiano yenye malengo miaka 2 sasa,huyu mpenzi wangu nampenda maana ana sifa nyingi nzuri ila tu ana asili ya unene (thick woman) na mfupi afu mi ni mrefu na mwembamba (slim man) yaani nikitembea nae siwezi mshika kiuno zaidi ya kuweka mkono begani,hata kumkumbati kichwa chake kinaishia kifuani tu.
Katika vigezo vyangu vya mke wa ndoto zangu napenda awe mrefu na mwembamba but huyu nilimkuta bikra nikachanganyikiwa nikaingia kwenye mahusiano je niendelee nae mpaka ndoa au maana hizo sifa mbili tajwa hapo juu naona kama ni changamoto yeye kuwa mke wa ndoto zangu...
WALA USIHANGAIKE NDUGU TAFUTA TU WA NDOTO ZAKO AISEE, UKIONA UNAPATA UKAKASI KUOA KWA KUTEGEMEA MAONI YA WENGINE WAKATI ODDS ZINARUHUSU BASI HUJAWA TAYARI KTK HILO. DONT WASTE HER TIME ITS BETTER LATE THAN NEVER ON THIS.
 
Mkuu up to this point of life still Unataka kuoa mwanamke sababu ni mrefu na mwembamba?, For God sake. Eating wamepata wenye hizo pigo ila wanajuta wengine hata hawalali nyumbani.....

What make a good woman is not the shape, but how she complete your life.
 
Endelea tu kuchagua Mkuu... Wala usijali.
 
[emoji445]Huyo ni chaguo lako... Chaguo lako[emoji445] anyways nakukumbusha kwamba hilo ndio chaguo lako Mungu kskupangia na anaweza kuwa ufunguo wa mafanikio yako. Siri ya Mungu ni kubwa sana unaweza kupaparukia mwanamke kwa muonekano wa nje matokeo yake ukateseka maishani.
Choose wisely [emoji3590]
 
Mkuu up to this point of life still Unataka kuoa mwanamke sababu ni mrefu na mwembamba?, For God sake. Eating wamepata wenye hizo pigo ila wanajuta wengine hata hawalali nyumbani.....

What make a good woman is not the shape, but how she complete your life.
Exactly [emoji1487]
 
Upendo hauangalii hivyo vitu.

Infact wewe unaanza kumchoka. Be careful
 
Unene sio tatizo endapo kama anajitahidi kupanua mapaja
 
wakati wa kubanduana urefu mnakuwaga sawa ila kuongozana unamzidi urefu ?

ila kuongozana na demu mfupi jau nishawahi kuulizwa nampeleka wapi mtoto wa watu
Umeanza kwa kumshangaa ila baadae ukakubaliana nae!
 
Wakati unamtongoza alikuwa mwembamba na mrefu, ghafla kawa mfupi na mnene. Comfused creatures.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Sasa hao wafupi unataka waolewe na akina nani? Oa tu muweke ndani.

Tena hao wafupi wanavyopenda sisi wanaume warefu kiasi, utakuja kujuta mbeleni. Muoe huyo huyo ila uishi naye kwa akili za hali ya juu.

Acha kumuumiza mtoto wa watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom