Kwa Wale Ladies wanao jiunga Dating Sites Kujaza nafasi tu.

JMafux

Member
Jun 11, 2011
23
13
Yani Hapa huwa nashangaa , ladies msome functionality za sites mbali mbali..... yani Site ni mahususi kwa ajili ya dating ila huweki effort yoyote pindi unapokuwa txtd. Kwanini ulijiunga sasa? yani hapo ni kuongeza tu operating cost za site husika afadhali ondoa iyo profile yako kama hutaki izo mambo.
 
ukute ata ni mwanaume kaeka picha ya kike we unakomaa kumtext cyo kila alieko huko ni mkwel,Usipojibiwa shukuru mungu
 
Labda hajavutiwa na wewe ndio mana hakujibu
Ndio hio inaweza kuwa sababu kwa mtu mmoja mmoja, km ukitoa user Male 1000 Female 700 na bado success hits kwa maongezi ya online ni chini ya 20% hii ni shida . Wanaingia huko bila kujua wanafwata nini
 
Kwani ulijaribu kwa kama wangapi?zikajibiwa ngapi?
 
Back
Top Bottom