Mpenzi wangu ananisaliti pia anajifanya ananipenda

floow

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
411
855
Ushauli wenu wana JamiiForums,

Ni miezi 8 sasa nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke ambaye mwanzo nilifikiri angefaa kuwa mke wangu, nilikuwa sijui kuhudumia mwanamke kwake nimejifunza kuhudumia, mara nyingi nimekuwa nikimpa pesa pindi atakapo, nimemnunulia simu zaidi ya 3. Mbaya ni kwamba nilichukua laini yake ki siri bila yeye kujua nikaweka kwenye simu yangu.Nikagundua ana michepuko zaidi ya 3, hiyo mi3 ndo iliyo kula mpaka mzigo, akaomba nimsamehe akalia sana na kusema hatorudia, nikaamua kusamee.

Juzi nimempigia simu SAA 5 za usiku kapokea Jamaa kumuuliza vipi anadai huyu ni msichana wangu mda huohuo msichana kanipigia namuuliza vipi, anadai huyo ni mpenzi wangu wa zamani alikuja nyumbani kanipora simu, sikutaka shida nikamwita aje geto, kesho yake kweli kaja geto. Nikaamua nimtembezee kipigo, nimempiga mpaka kumvunja mkono, kaondoka analia nikajua huo ndo mwisho wetu sasa chaajabu pamoja na kupiga kote huko msichana anadai bado ananipenda.

NISAIDIENI JAMANI HUYU MSICHANA ANAIFAA KWELI?
 
Wewe unamuita demu ila ukimpigia wakipokea hao watwasi wenzio wanasema huyo ni mpenzi wao!

Hata ningekuwa mwanamke nisingekuja kwako unaonakana bado hujapevuka wewe!

DEMU- wavu wakuvulia samaki
Ndg yang kumuita dem hizo ni hasira......yamenifika shingoni.....nimemuita majina yote mazur unayoyajua ww.
 
Anapenda hela zakooo itakuwa wewe ndo unahonga sana kulikoo Mabwana zakee woteee...!!!
 
Hivi wavulana kwanini mnapenda kujiona mwanaume wakati huwezi kupambana na mambo ya wanaume kwanini umpige kwan mtaani unako ishi hawapo wengne acha kuwa baunsa wa mapenzi huwezi kupendwa kwa kumpiga mwanamke
 
Next time muite tena unapopaita geto kisha mvunje alafu subiri vijana wa Sirro waje ili wakupeleke sehemu salama
 
Ushauli wenu wana jamii form.....ni miez 8 sasa nipo kwenye mahusiano ya kimapenz na Mwanamke ambaye mwanzo nilifikiri angefaa kuwa Mke Wang......nilikua sijui Kuhudumia mwanamke ...kwake nimejifunza Kuudumia.....mala nyingi nimekua nikimpa pesa pindi atakapo......nimemnunulia sim zaid ya 3... Mbaya ni kwamba nilichukua Lain yake Ki siri bila yeye kujua......nikaweka kwenye cm Yang..... Nikagundua ana michepuko zaidi ya 3..... Hiyo mi3 ndo iliyo kula mpaka mzigo..............aka omba nimsamehe akalia sana na kusema hatorudia...nikaamua kusamee.....juzi nimempigia sim SAA 5 za usku kapokea Jamaa....kumuuliza VP anadai huyu ni dem Wang..............mda huohuo dem kanipigia namuuliza vp ...anadai huyo ni mpenz Wang Wa zamani....alikuja nyumbani kanipola sim.....sikutaka shida nkamwita aje getoo......kesho yake kwel kaja geto..... Nkaamua nimtembezee kipigo,,nimempiga mpaka kumvunja mkono......kaondoka analia nkajua huo ndo mwisho wetu sasa........chaajabu pamoja na kupiga kote huko.....dem anadai bado ananipenda.......................NISAIDIEN JAMAN HUYU DEM ANAIFAA KWEL........?
wee nae boya manz anakusaliti mara ya kwanza unamsamehe yapili halafu unatuuliza anakupenda kweli??
mm mara ya kwanza na mawasiliano yanakufa hapo hapo
huyo anapenda chapaa yako
 
Hivi wavulana kwanini mnapenda kujiona mwanaume wakati huwezi kupambana na mambo ya wanaume kwanini umpige kwan mtaani unako ishi hawapo wengne acha kuwa baunsa wa mapenzi huwezi kupendwa kwa kumpiga mwanamke
Nilikua naifraisha nafsi yang.....nyinyi mnatia hasira
 
Wee jamaa unauvumilivu hata shetani hawezi fikia yaani mm nimpigie demu wangu simu apokee mwanaume mwenzangu halafu bado nitafute ushauri?demu kiruka njia anapenda visenti vyako anamabwana karibu 100...be careful & watch it.
 
Nilishakua na demu wa hivyo afu alilkua mrembo balaa. Yani Maelezo yako ni Kama unauongelea yeye mtoto wa kinyiramba. Mwishoe nikaona nijitoe ili achukuliwe na mwingne afu Mimi niwe nampgia kisela.Mwanamke Gan haelew kila ck anarudia makosa yaleyale na anaomba msamaha mpka analia
 
Back
Top Bottom