Ushawahi kuwa na stress za kutongoza!

Ushawahi kuwa na stress za kutongoza!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Aisee hakuna stress kubwa kama umependa wanawake na ukaamua kumtongoza kwa maneno kapambe kuwa upo single for a long time na blalabla kibao lakini kabla hajakukubalia unaona amepost status yake kwenye WhatsApp yupo na Ex girlfriend wako!na ukikumbuka ulimbwaga kwa madoido X wako!
Hapo unajikuta mapigo ya moyo yanaenda kasi kama
Bombadia

NB,ili mwanamke akubali ama kukataa inategemea sana Rafiki yake atamshauri vipi
 
Sio wote tunauliza ushauri kutoka kwa mashoga zetu kwenye swala zima la mahusiano.

Ila hiyo ya kumpost x wako status mmhhh! Kimbia[emoji23]
Hiyo kwenye avatar ni miguu yakoo bibie??
 
Mahusiano Yangu Mimi niombe ushauri kwa rafiki angu

Nei bolo
 
Aisee hakuna stress kubwa kama umependa wanawake na ukaamua kumtongoza kwa maneno kapambe kuwa upo single for a long time na blalabla kibao lakini kabla hajakukubalia unaona amepost status yake kwenye WhatsApp yupo na Ex girlfriend wako!na ukikumbuka ulimbwaga kwa madoido X wako!
Hapo unajikuta mapigo ya moyo yanaenda kasi kama
Bombadia

NB,ili mwanamke akubali ama kukataa inategemea sana Rafiki yake atamshauri vipi
Unamtongoza FaizaFoxy unategemea nini kwani!!
 
Unamtongoza FaizaFoxy unategemea nini kwani!!
Wewe haumo kwenye hii list...

Aliweka tangazo la kutongozwa humu!! Usiangalie ushungi FaizaFoxy amepinda balaa na bado anatafuta kupindwa!!
Hili hapa, wewe haumo humu...

Wewe haumo kwenye hii list...

Ulikuwa unasaka mwenye kibamia au mtaimbo wa kihongwe?
 
Sisi wengine huwa tunakula mizigo, halafu baade ndio manzi anauliza, " what about us".

Ukimuelewa unampa contract,usipomuelewa unamuambia you are in a very serious relationship [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom