Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Girls with one☝ boyfriend, may God bless you all this year!🙏💕🔥
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naimani sipo peke yangu mwenye mke mzuri mrembo mweupe wa asili na nampenda sio kidogo. Yani akisema uwahi kutoka kazini..fasta nimerudi, naomba sijui nitumie gari yako weekend ijayo..fasta naweka...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Katika maisha ya kuishi watu tofauti Kama marafiki,Ndugu na jamaa wengine lazima kutakuwa na tofauti za kimaumbile na kitabia baina yetu bila shaka. Kama tu rafiki ambaye unakutana nae katika...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa maisha town pesa ndio injini ya maisha ya kila siku kwa kila kitu iwe umebanwa na kiu au umebanwa na haja ndogo au kubwa lazima pesa itahusika kuondoa tatizo lako. Sasa nimegundua hata kiumeni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau kama ukiwa na mume wa mtu ni unaharibu ndoa ya watu husika. Je, kuhusu waislamu wanaoongeza wake na ni wahalali wao hawaaribu ndoa ya huyo waliomkuta kwani wao ni malaika? Bila shaka...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Don't dont
0 Reactions
5 Replies
877 Views
Habari wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo. Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini...
4 Reactions
223 Replies
27K Views
Hahari wana jamvi natumaini mko poah naomba Ushauri wenu kuna bint nilikuwa na mahusiano naye toka niko mkoa mwaka 2009 tuli tulikuwa na mahusiano sasa ilipofk mwaka 2010 niko fom two bro wangu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani mimi ni mke wa mtu na yeye ni mme wa mtu.Toka nifahamiane nae ni meizi nane na siku zote hizi yeye ndo kitu nachokifikilia zaidi akilin mwangu,ninampenda isivyo kawaida nikiamua kumtoa...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Wakuu heshima yenu!!! Leo ninayo machache tu ya kuzungumza nawe mzazi au mlezi unaekaa na watoto wako au wa ndugu yako awe wa kike au kiume, hasa watoto chini ya umri wa miaka kumi ambao mara...
7 Reactions
5 Replies
987 Views
Wadau Namshukuru mwenyezi kwa kunipa uhai hadi siku ya leo na vile anavyonipa mitihani na changamoto kemkem za kimaisha ambapo kupitia hivyo ninajifunza hatimaye kubadilika kwa kuutii ukuu wake na...
6 Reactions
120 Replies
17K Views
Hello,JF members....natafuta mke awe serious, miaka 22 mpka 26 mkristo....mkoa wowote...aje inbox tuyajenge.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa mfano kwa sasa watu na viumbe vyote hapa duniani wasizaliane,baada ya miaka mia moja (100) kutakuwa na binadamu/viumbe wangapi?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana JF. Katika maisha kuna changamoto nyingi sana moja ya changamoto ni kupata mtu sahihi wa kuoa au kuolewa nae. Inaweza tokea umependana na msichana au mvualana mpaka mnaamua kuoana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Mwaka 2009 nilisafiri na Rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo Mara sec ni mwalimu kwa sasa tulikuwa tukielekea Nansio Ukerewe katika mihangaiko ya kimaisha, nikiwa kwenye meli...
10 Reactions
257 Replies
32K Views
Yaani mtu anakuja ana niambia waiteni wazazi pande zote mbili...msuluhishwe na mkeo... Kwanini kila ugomvi muite wazazi...yaani sipendi ushauri wa aina hiyo... Kama mimi mwandani wake nayezijua...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
The red flowers we always take pride in deflowering have finally turned against us. With their unbridled lust, their canine venomous hatred fully fledged no greater woe for our nature could be...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Toka huu mwaka uanze nimeshuhudia ndoa zaidi ya 20 za mabinti wa kichaga wakiolewa na wanaume wa kikurya.hii ni tofauti na dhana iliyopo kwa makabila mengine wanaohisi wanaume wa kikurya ni watu...
0 Reactions
36 Replies
11K Views
YOUR MARRIAGE CAN NEVER FAIL Do you know that one powerful tool that God gave to us is our minds? It has the ability to make or unmake us. It controls everything that has to so with our lives. It...
1 Reactions
6 Replies
796 Views
Wanafiki kaeni kando tunajadili facts, Ingia kwenye maandiko angalia habari za mitume na manabii ,soma historia angalia wafalme watemi na machifu, Ingia kwenye documentaries za wanyama utapata...
13 Reactions
153 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…