Tukipata pesa tunadisa

Tukipata pesa tunadisa

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,468
Reaction score
40,821
Kwa maisha town pesa ndio injini ya maisha ya kila siku kwa kila kitu iwe umebanwa na kiu au umebanwa na haja ndogo au kubwa lazima pesa itahusika kuondoa tatizo lako. Sasa nimegundua hata kiumeni pesa zinaongeza mzuka wa ngono kwani miundo mbinu yote imesetiwa ukitoa pesa unapata chochote hata threesome au masaji ya nyama au nyama (bucha) na ukiwa empty kapuku (majalala) hata uoneshwe upaja wa Sanchoka utaishia kuugulia maumivu ya mbupu.. ngoja upate fedha unapata confidence ya kupiga deki yeyote atayeingia mikononi kwa nguvu ya pesa.. Dahhhh nani alileta haya makitu pesa yameondoa ladha ya mapenzi kabisa sasa ivi tunanunua yeyote tunayemtaka. [emoji857]
 
Apa ndo naamini ule usemi usemao pesa ni shetani pesa mwana haramu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom