Sipendi kuwekwa chini kusuluhishwa

Sipendi kuwekwa chini kusuluhishwa

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,649
Reaction score
4,756
Yaani mtu anakuja ana niambia waiteni wazazi pande zote mbili...msuluhishwe na mkeo...

Kwanini kila ugomvi muite wazazi...yaani sipendi ushauri wa aina hiyo...

Kama mimi mwandani wake nayezijua vema tabia zake za siri na dhahiri ameshindwa kunisikiliza na kunitii ndio itakuwa hao wazazi wake...

Sipendi kukuza mambo...nitakaa na halmashauri ya kichwa changu na nitafanya maamuzi sahihi maslahi mapana ya chama cha mapinduzi...
 
Ni sawa sawia, hao wanaokuja kusuruhisha wao pia wana matatizo yao chungu nzima,
 
Inategemeana na tatizo lililo wapata sikio halizidi kichwa ila kwa zama hizi tulizonazo ni bora matatizo mkamaliza wenyewe binadamu tumebadilika sana
 
Binafsi pia siamini juu ya kusuluhishwa kwenye ndoa. Once tumegombana tukafikia kuachana siamini kwamba tunaweza kurejea katika hali ya kawaida eti kwa kusuluhishwa...
 
Mkishaanza kupeleka kesi majumbani bas taysr mnakua mmemkaribisha ibilisi kwenye ndoa yenu, wale ni wazazi hata kama mtoto wake ana makosa au pengine wewe ndio umetendewa hayo makosa mzazi kama mzazi lazima ajisikie vibay japo hatoweza kukuonesha na wengine huwapigia wakwe zao na kuwakomesha kuwatesa watoto wao ndoa za hivi hua hazikai stable

Kama mmekoseana ni heri muitane wenyewe mkanyane wenyewe, ni mumeo ni mkeo unamjua kuliko mtu yoyote yule hata kama una hasira gani mueleze hujafurahishwana umechukizwa na tabia au mwenendo wake na unamhitaj abadilike tu sio kingine kwanza utajipa amani ya moyo kwa kutoa dukuduku lako kuliko kukaa nalo pia umeonesha ustaarabu wa kujishusha kusuluhisha tatizo lililopo, yapo makosa ambayo ni mazito unaona mtu hapana kama ana mzazi wake unamface unamwambia tu amrekebishe mwanae
 
Ukiona mnaanza kuhusisha watu wengine kusuluhisha mambo yenu, ujue meli inazama.
 
Hope you got your fajr on time
 
Anaependa kusuruhishwa anakuwa yeye ndo mkosaji,
Kwasababu ya kukosa confidence kuongelea makosa yake anaona angalau wawepo watu wa kusaidia kumtoa aibu.

Ni kama mtu anaeanzisha ugomvi mbele ya watu kwa kutegemea kuamliwa.
Yaani mtu anakuja ana niambia waiteni wazazi pande zote mbili...msuluhishwe na mkeo...

Kwanini kila ugomvi muite wazazi...yaani sipendi ushauri wa aina hiyo...

Kama mimi mwandani wake nayezijua vema tabia zake za siri na dhahiri ameshindwa kunisikiliza na kunitii ndio itakuwa hao wazazi wake...

Sipendi kukuza mambo...nitakaa na halmashauri ya kichwa changu na nitafanya maamuzi sahihi maslahi mapana ya chama cha mapinduzi...
 
Hakika uko sawa yanini kuwapa watu faida?
Kabisaa...kla ktu kuwaita wazazi...hyo kitu cwez fanya...ni km kuwadhalilisha wazazi kuwa hawakulea bint yao vema...
 
uko sahihi kabisa....ndoa ni ya watu wawili only.....wa tatu ni iblisiiii....nyie wawili ndio wenye mustakhabali wenu.....
 
Poleni sana...

Basi acheni ugomvi na punguzeni hasira...

Kama ugomvi wenu unafika mpaka kwa wazazi ina maanisha nyie wote ni washamba na wapumbavu...

Angalizo: Washamba na wapumbavu siyo tusi wala kejeli...

Cc: mahondaw
 
Mkishaanza kupeleka kesi majumbani bas taysr mnakua mmemkaribisha ibilisi kwenye ndoa yenu, wale ni wazazi hata kama mtoto wake ana makosa au pengine wewe ndio umetendewa hayo makosa mzazi kama mzazi lazima ajisikie vibay japo hatoweza kukuonesha na wengine huwapigia wakwe zao na kuwakomesha kuwatesa watoto wao ndoa za hivi hua hazikai stable

Kama mmekoseana ni heri muitane wenyewe mkanyane wenyewe, ni mumeo ni mkeo unamjua kuliko mtu yoyote yule hata kama una hasira gani mueleze hujafurahishwana umechukizwa na tabia au mwenendo wake na unamhitaj abadilike tu sio kingine kwanza utajipa amani ya moyo kwa kutoa dukuduku lako kuliko kukaa nalo pia umeonesha ustaarabu wa kujishusha kusuluhisha tatizo lililopo, yapo makosa ambayo ni mazito unaona mtu hapana kama ana mzazi wake unamface unamwambia tu amrekebishe mwanae
Na watu wanaoshauri muite sijui wazazi wa pande mbili...wanaishi maisha ya movie...na wala hawana ndoa...wao kushauri utumbo wenzao...
 
Haya maisha yanamfanya mtu amchukie mtu wake bila hata ya sababu ili tuu waachane
 
Na kwanini muite wazazi/watu wengi ne kuwapa ushauri?

Ukiona mmefikia huko hamna mahusiano hapo
 
Back
Top Bottom