Hivi kwanini kasi ya mabinti wa kichaga kuolewa na wanaume wa kikurya inakua kwa kasi sana?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,877
15,444
Toka huu mwaka uanze nimeshuhudia ndoa zaidi ya 20 za mabinti wa kichaga wakiolewa na wanaume wa kikurya.hii ni tofauti na dhana iliyopo kwa makabila mengine wanaohisi wanaume wa kikurya ni watu katili sana..je hawa mabinti wa kichaga wamegundua nin huko ukuryani?
 
Arakini Mugaka, c wanaume wa kikurya nao wanawapenda wanawake wa rangi ya maji ya kunde? sasa itabidi muanzishe kijiji cha Rombo huko tarime kama kilivyoanzishwa kijiji cha Iramba baada ya kuwadaka mabinti wa Singida wa ngozi ya rangi ua maji ya kunde!! Hahaaaaa!
 
Mh!! nmeshuhudia mmoja..Yawezekana ila nnachokiona mabint wengi wakichagga hawapend kuolewa na wachaga wenzao
 
Another Saga of Chaga girls..

Mie kwa utafiti wangu nimeona

Mabinti wa kichaga ndio wanaoongoza kwa kuolewa ,katika ndoa 10 zinazofungwa 5 ni za mabinti wa kichaga na wanaume wa makabila mbalimbali

Mabinti Wa Kihaa(wahaa) ndio wanaofatia kwa kuolewa pia na wanaume wa kabila mbalimbali,katika ndoa 10 mabinti wa kihaa ni 2 au 3 ya ndoa zote

Bado nafanya utafiti kujua ni kwanini kabila hizi mabinti wao wanaongoza kwa kuolewa

Nb:utafiti wangu sio rasmi ni kwasababu tu nashungulika na industry ya mambo ya wedding so it is just my personal experience
 
Toka huu mwaka uanze nimeshuhudia ndoa zaidi ya 20 za mabinti wa kichaga wakiolewa na wanaume wa kikurya.hii ni tofauti na dhana iliyopo kwa makabila mengine wanaohisi wanaume wa kikurya ni watu katili sana..je hawa mabinti wa kichaga wamegundua nin huko ukuryani?
Wanaendana kwa roho zao.
 
mimi nadhani wanaendana wote.maana wote wana roho mbaya na wote ni wakatili pia wote mapenz yao yamekaa kibabe kibabe tu.kwa kifupi wanaivana
 
Wakurya ndo wale wanaombaga papuchi kwa kusema "mama bhoke nataka nikurenge" itakuwa mabinti wakichaga wamevutiwa na hiyo tabia maana wao mambo mengi romance masaa matatu hawajazoea hawa dada zangu maana everytime wao wanataka ku maximize income kutokana na muda. So hawapendi kupoteza muda :):)
 
Toka huu mwaka uanze nimeshuhudia ndoa zaidi ya 20 za mabinti wa kichaga wakiolewa na wanaume wa kikurya.hii ni tofauti na dhana iliyopo kwa makabila mengine wanaohisi wanaume wa kikurya ni watu katili sana..je hawa mabinti wa kichaga wamegundua nin huko ukuryani?
wakurya n wapole wakipata wapole mabint wa kichaga n wapole hadi raha pia ukiwaleta huku ukuryan unaonekana mjanja
 
Inawezekana ndio waliopo kwenye soko la ndoa.Maana soko la ajira wameliteka kwa kiasi kikubwa mimi jamaa zangu karibu 7 wameoa huko.
 
Toka huu mwaka uanze nimeshuhudia ndoa zaidi ya 20 za mabinti wa kichaga wakiolewa na wanaume wa kikurya.hii ni tofauti na dhana iliyopo kwa makabila mengine wanaohisi wanaume wa kikurya ni watu katili sana..je hawa mabinti wa kichaga wamegundua nin huko ukuryani?
Hawajagundua...
Hata hivyo hao wakirya bila shaka wanazo sifa nyingine pendwa
 
Shuguli ya kitandani jamaa wako vzuri.....ulizia kitubda huko hadi mijimama huenda huko kuopoa vidume
 
Back
Top Bottom