Kijana mwenye umri wa miaka 35 amefariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye shamba la mahindi na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mjane.
Polisi wamemtaja kijana huyo kuwa ni Julius Bor na kwamba...
Habari wanajamvi.
Ndugu zanguni mwenzenu nimekwama kimbinu.
Kuna dada nilimtongoza mwaka mmoja ulopita akakubali na akaja getto nikamuomba gemu akakataa nikamuacha aende zake.
Baada ya wiki...
Wana jamii forum nimemkuta mpenzi wangu na dawa imeandikwa lukomolo. Mm nimehisi ni dawa ya limbwata nikimuuliza anakataa katakata anasema ni dawa ya chango la tumbo. Wandugu ambao wanaufaham wa...
Wakuu! Habari za jioni ya Leo!
Hivi karibuni nikiwa mtaani kwetu uswahilini huku dar, mchana kweupe nikasikia nyumba ya jirani Kuna kelele za ugonvi mata pap nikatoka kufika hapo nakuta wanawake...
Katika hali ya kusikitisha na kuhuzunisha kijana mmoja amepatwa na tukio litakalo acha historian kubwa katika maisha yake.
kijana huyo ambaye ni above 28 years jana alijikuta anapoteza kichwa cha...
Aitel wanakera sana ,,,,,mtandao mbovu kisengee ,,,,yani nimejiunga na line ya chuo nimepata ma mb mengi lakini spidi ya kisenge
Tigo. Voda na halotel wanaspeed kubwa sema.bando dogo
Lakini...
habari, wakuu katika uchunguzi wangu nimepitia mahusiano mengi lakini kuna kitu nimegundua kutoka kwa wanawake, wengi niliowapata kwa njia ya pesa sikudumu nao muda mrefu, pesa zikishaisha tu na...
Wakuu sio jambo la busara hata kidogo kukataa mimba.
Lakini kuna mimba zingine unaona kabisa hapa napigwa mchana kweupe sisi hizo ndio inabidi tuzipinge kwa nguvu zote maana huwa zinaleta athari...
Kuna mdada nampenda sana tena sana ,yuko chuo mwaka wa pil diploma malengo yetu kuja kuoana lakini kutokana na mazingira ya akina dada wawapo vyuon nafikili mnawajua tabia zao zinavyo badilika...
Nina mchumba wangu ni mjamzito wa miezi mi2, kusema kweli toka apate hiyo mimba amekuwa na tabia za ajabu sana, namwona kama wakati mwingine kachanganyikiwa hivi, yaani anaweza akakasirika ghafra...
Nauliza swali hili ili nielimishwe.Uchumba unaanzia pale Msichana anapomtambulisha Mchumba wake kwa Wazazi au Mwanaume anapomvisha Msichana pete ya uchumba au vyote kwa pamoja?Mchumba mwenye nia...
Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania.
jamiiforums.com Aug 4, 2019 2:40 PM
Naunga mkono hoja hata marafiki zangu...
kumezuka wimbi kubwa sana la vijana kuanza kuishi kiunyumba kama mke na mume na kuendelea kuzaa watoto bila ya ndoa.
Je, unadhani ni sahihi?
Karibu toa maoni yako
Nimesimama kwenye sheli nawaza niongeze mafuta niendelee na safari au niache gari nipande basi Niko njia panda nimechanganyikiwa haswa naona mapicha picha nikitaka kuendesha gari tena
Wakuu Nifanye nini kuna mademu watatu wote wameniambia wana Mimba zangu,
Sasa sijui hapa najipangaje maana wote miezi inafanana, na ata kwenye kujifungua kwao nadhani hawatopishana sana...
Wana jamvi, nawasilisha uzi huu kwenu kujadili mustakabali wa watoto wetu na kizazi chao kwa ujumla.
Salamu (ya shikamoo) imekuwa nadra sana kwa watoto (na vijana) wa kizazi hiki.
Ni jambo la...
Habari zenu ndugu zangu.
Watu wengi walikuwa ama wanayo nadharia kuwa mke bora ni mwalim kwanza mlezi mzur,mvumilivu na anamaadili mema.inawezekana walimu Wa zamani walikuwa hivyo ila hawa wasasa...
Habari wakuu!
Nimefanya kautafiti kangu kadogo nimegundua wanawake wengi siku hizi hawaonyeshi mahaba yani kwa ujumla hawako "Romantic". Wanawake wengi siku hizi akipata mwanaume anaona amepata...