Kifo cha namna hii bwana mimi nakipenda sana kuliko vifo vingine vimejaa mateso mnooo ....Uzuri kifo hakimbiwi....unaweza fia kitandani mkuu.
kifo kibaya sana hicho kama umepigwa sindano ya sumu, utakua umeumia vyakutosha kabla ya kufaKifo cha namna hii bwana mimi nakipenda sana kuliko vifo vingine vimejaa mateso mnooo ....
Yaani ikiwa siku zangu za kuishi zime Isha basi itokee tu nilale then nisiamke tena
kifo kibaya sana hicho kama umepigwa sindano ya sumu, utakua umeumia vyakutosha kabla ya kufa
Njoo ulale na mm hautaotaAcheni kuongelea vifo bhana ntaota bure[emoji48]
Lala tu.....
Njoo ulale na mm hautaota
Mkuu, naomba kwanza nikupongeze kwa kuwa mmoja wa member wa jf wanao miliki chuma.Nimesimama kwenye sheli nawaza niongeze mafuta niendelee na safari au niache gari nipande basi Niko njia panda nimechanganyikiwa haswa naona mapicha picha nikitaka kuendesha gari tena
ACHA UOGA, KILA MTU ANA SIKU YAKE YA KUFANimesimama kwenye sheli nawaza niongeze mafuta niendelee na safari au niache gari nipande basi Niko njia panda nimechanganyikiwa haswa naona mapicha picha nikitaka kuendesha gari tena