Airtel mnakera mmenipa MB nyingi lakini spidi ya kobe

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,477
25,403
Aitel wanakera sana ,,,,,mtandao mbovu kisengee ,,,,yani nimejiunga na line ya chuo nimepata ma mb mengi lakini spidi ya kisenge

Tigo. Voda na halotel wanaspeed kubwa sema.bando dogo
Lakini airter aah wanakera

Anayejua setting ya kuongeza speed anielekeze
 
Sijui nini kimetokea but DATA services za Airtel zimekuwa duni na very disappointing tofauti na awali..
Sijui ni kuzidiwa ama
Ama kutokujali tena
But recently imekuwa hairidhishi
They need to rectify this..
 
mimi airtel nawakubali sana labda sababu nakaa nyumba ya mnara?? spidiii kali hatariii
 
Back
Top Bottom