USHAURI TAFADHALI

USHAURI TAFADHALI

BSL

Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
86
Reaction score
98
Kuna mdada nampenda sana tena sana ,yuko chuo mwaka wa pil diploma malengo yetu kuja kuoana lakini kutokana na mazingira ya akina dada wawapo vyuon nafikili mnawajua tabia zao zinavyo badilika ,nimemwambia nimpe laki 5 ili abebe mimba yangu na siyo kwamba nikimpa laki 5 ndpo iwe mwisho hapana hiyo ni kama asante yangu kwani natamani sana kuzaa naye lakini bado ana kataa so manauuuuuuumeeeeee nipeni mbinu nimchezee hesabu abebe mimba yangu nitamtunza kama malkia kwani uwezo ninao.
 
Upo dar sehemu gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kifala
 
Bado unahangaika na wanachuo tu, njoo huku kuna akina Jonah, Demiss, Khantwe, katoto kazuri, mother confessor, financial service, miss natafuta, mzigua 90, manengelo, and so on, wote wameshaliza chuo na wana mipango ya maana na unamiliki bila stress.
 
dah...mzee umechanganyikiwa...nini...? ebu nenda ukapime inawezekana kuna fyuzi zimekung'oka kichwani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kifala
😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom