Uchumba wa kweli kuelekea kuoana unaanzia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchumba wa kweli kuelekea kuoana unaanzia wapi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mmaroroi, Aug 4, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nauliza swali hili ili nielimishwe.Uchumba unaanzia pale Msichana anapomtambulisha Mchumba wake kwa Wazazi au Mwanaume anapomvisha Msichana pete ya uchumba au vyote kwa pamoja?Mchumba mwenye nia nzuri utamjuaje kwani mwingine anaweza kumvisha pete Msichana na bado asimuoe.Wandugu mnielimishae.
   
 2. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hili niswala gumu sana kujua mtu anafikira nini na anwaza nini juu yako., anaweza akajitambulisha akakuvisha pete lakini baada ya muda akakuacha,
  inategemea na mtu mwenyewe na mazingira mliyokutania na tabia ya mtu, uchumba ndo unaweza kudumu hadi ndoa. ikumbukwe mwanume anaweza akapretend mpaka mwenyewe ukakoma.
   
 3. j

  jojig Member

  #3
  Aug 5, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  joyceline umeongea ukweli mtupu kabisa kwa sababu kuvishwa pete na hata mpaka kufikia kanisani kwa mathalani wakristo kutangazwa hakusaidii kama jamaa ni msanii tu unaachwa kwenye mataa.but still swali la mjamaa wa kwanza hapo juu halijapatiwa jibu labdana mm niongezee kidogo uchumba unaanza kuwa rasmi kipindi gani?unapovisha pete au unapopelekwa wa wazazi kutambulishwa?
  ni hayo tu!
   
 4. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tuelimishane juu ya hili kwani Dada zetu wamekuwa wakidanganywa na Wanaume viwembe kwa kudanganya uchumba.Hii ni chanzo mojawapo ya Watoto wa mazingira magumu nchini.Nachelea kuwaita Watoto wa mitaani kwa kuwa mtaa hauzai Watoto.
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  hapo ndio ugumu unajitokeza sasa, huwezi jua analowaza mwenzio bwana,watu wana pretend balaa, ndio mana mie nilivyovalishwa tu nilimpa mwezi 1 apige hatua mbele kwenye kufikia malengo, na nilimwambia mwezi ukipita naivulia mbali, niliogopa kuingizwa mjini,sasa unakuta mtu ni wachumba wa miaka 7 huko, mpo mpo tu hakuna kinachoeleweka zaidi ya kudai nina mchumba mchumba na matokeo yake ni kutendana.
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0  nadhani yote yawezekana! unaweza valishwa pete na uchumba ukaanzia hapo, mkienda kwa wazazi ni suala la mahari na mambo mengineyo.....na mnaweza kuanzia kwa kujitambulisha kwa wazazi pia.
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  MJ1, Chaku, WoS na Agika mbona mmeadimika hivyo?
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  umeshaolewa?
   
 9. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mie nadhani, ni unapotamkiwa ombi na kukubali, wazazi wakakubali, na Imani yako ikakubali, kisha ukivishwa pete hapo ndo unaitwa mchumba, sijui lakini kwa imani yangu ndo hivyo.
  Inawezekana kukiukwa kwa moja ya vigezo hivyo kama kwa watu wa imani tofauti, watu ambao wazazi wamekataa mwenza etc, lakini kwa wale wanaofuata kwamba procedure zote zimekubaliwa ni nyie wawili, then wazazi, then wakuu wako wa imani, kisha pete inashika huo uchumba. Kawaida maximum ni miaka 2.
   
 10. Dogo Tundu

  Dogo Tundu JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 441
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  binafsi mi nadhani, uchumba huanza pale wote kwa pamoja wanapokusudia kuanzisha familia moja na yenye kumcha mungu. unajua wadada wengi ndio mwanzo wa matatizo, kwani wakidanganywa kidogo tu wanaridhia kuwavulia wakaka nguo zao za ndani. iwe anasema ukweli ama kukudanganya cha msingi never kama mtoto wa kike kumvulia mkaka nguo yako ya ndani kwani walio wengi ni matapeli wa mapenzi. watakudo then hao wanaenda kutafuta wengine warahisi kama walivyofanya kwako na kuendeleza anasa zisizo na msingi. uchumba huanza pale urafiki wa kweli unapojityokeza baina ya wawili wanaopenda tena upendo hyuwa ufanane na ule wa kaka na dada, itakuwa ngumu kiasi kwa mtu kumhat mwenzake ikiwa wote awali urafiki wao ulikuwa kama dada na kaka.
  zaid ya yote m,i nashauri, nyie dada zetu hebu jaribuni kuwq wagumu, msitoe mapenzi kama kigezo cha kuonyesha mapenzi kwa huyo tapeli wako wa mapenzi.
  jitunzeni muone kama wakina sisi hatutaacha kuwauzia yale mashamba yetu ya urithi.
  unajua mwanamke anayejitunza ana thamani sana mbele ya macho ya mwanmume hata kama ni player kiasi gani ukweli unabaki pale pale kuwa ukiwa msafi wewe mdada ujue market yako inakuwa kumbwa sana na hata huyo atakaye kuadaha kukuoa basi ujue akijua una msimamoa na maisha yako utamuona huyooo anasepa zake kutafuta vicheche na akijikakamua na kukuoa basi kuna uwezekano wqa yeye kukuheshimu na kukupenda kwa dhati.
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ah dada tupo mbona? mambo tu mengi mpenzi.

  Mimi nafikiri uchumba wa kweli nadhani unaanzia pale tunapopelekana kwa wazazi jamani ingekuwa pale kwenye pete mbona wengi tungekuwa tumeshaolewa zamani sans na watu wasio. maana kama kuvishwa pete kunahalalisha uchumba then kusingekuwa na kutelekezana baada ya kuvishana hayo madubwashana vidoleni.
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  nashukuru mami, nilikumic sana!....wapo kibao wamepelekwa kwa wazazi na bado wakatelekezwa.
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Luv unamaana mimi hujanimic lakini?
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wee nawe? wataka yote peke yako!
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Waogope nini MJ1?
  Kama unabana kumegwa unataka nijitambulishe kwenu ndo dawa hiyo nakuja nakuvisha pete kwenu na ninatoa kishika uchumba kama 50,000 hivi naanza kumega hapo si ndo utakuwa na imani na mimi. Namega kiulaini kama namsukuma mlevi vile.
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwani kumegwa inaruhusiwa baada ya kutolewa kishikauchumba au ndoa? Ina maana uchumba unahalalisha kufanya mapenzi kwa wachumba?
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ahaa luv nimeona amewamic nyie tu wkt mzee wa kazi nipo hapa naanda mihogo na viazi kwa ajili ya kupiga dili mwezi mtukufu.
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ...... oh ok pole. Kwani unaanza lini rasmi nikutafutie tender lol
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahahaha yeah yaani mi nikija kujitambulisha kwenu wewe unawekewa limit ooh sio sasa ndo unajiachia wazazi watakukanya na mimi wataniambia kuwa wewe bado upo katika himaya yao. Sasa hapo mimi ndo nakuwa free kupata mwanya wa kumega si ulisema mpaka nije kwa wazazi nijitambulishe sasa nimekuja. Maswala ya ndoa baadae mama.
   
Loading...