Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Namshukuru sana Mungu kwa kumfanya mama awe na moyo wa uvumilivu mpaka ameacha kuzaa sisi watoto wake wote ni wa baba mmoja. hii ni nzuri sana inasababisha kutokuwepo kwa mgogoro na...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
10 Types of Men You Must Never Date As a woman, when discussing your ideal partner, it's important to set aside superficial traits like being tall, dark, handsome, having pink lips, being rich...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie mawazo kidogo mimi nimeoa mke mmoja na nina watoto wawili tu but katika pilika pilika za maisha nimejikuta nina michepuko miwili ambayo kiukweli naipenda sana...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
"Hakuna Mwanaume ambaye hana Uume wa kutosha kumfikisha Kileleni Mwanamke yoyote kwakuwa Kiutaalam Mwanamke anatosheka tu na Uume wa kuanzia inchi Mbili kitu ambacho Wanaume wote Maumbile yao...
12 Reactions
44 Replies
6K Views
Nakuuliza wewe mwanamke unayetumia uchi wako kujipatia kipato,haijalishi uko baa,wewe ni binti,au umeolewa lakini unauza uchi wako kwa hela. Tuambie.
1 Reactions
14 Replies
624 Views
Nilipata mwanaume humu tu 🤣🤣🤣🤣😅😅😅bas akanambia njoo tuonane njoo kwanauli yako ukifika nakurudishia nikaenda tukacheki afya vzr tu tukalala bas bwana asubuhi naamka hapo kitandani gest nakuta...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu 1. Mazoea uliyojenga nae ya muda mrefu yanadumaza adhma yenu ya kuoana,zinduka chukua hatua sasa. 2. Kama umemzalisha na bado yupo kwao huyo tayari kuna asilimia/uwezekano mkubwa wa...
6 Reactions
13 Replies
737 Views
🕌 MUHTASARI: SIFA ZA MWANAMKE MWEMA KWA AJILI YA NDOA (KWA MUJIBU WA QUR’AN NA SUNNAH) 1. Mwenye Imani na Uchamungu (Taqwa) Qur’an: An-Nur 24:26 — “Wanawake wema ni kwa wanaume wema, na wanaume...
1 Reactions
3 Replies
731 Views
QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA _ Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
1 Reactions
12 Replies
786 Views
Oyaa wakuu Wazee sijui hawanielewi Wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama, baada ya kuwa sister kachumbiwa maan tuko wawili tu, nilibaki nachekacheka tu. Hawajui nimeshapigwa na vitu vizito na hawa...
5 Reactions
13 Replies
546 Views
MAkosa ya kiufund yapo kila mahal hapa wahenga walikosea sanaa Pale wanaposema mwanamke mpumbavy hujenga ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ni makosa kinachojenga ndoa ni mdomo sio mikono hata...
3 Reactions
5 Replies
387 Views
1. ✈️ Simu kindege “flight mode” kila mkiwa pamoja. Anaepuka mawasiliano ya “side guys" —bro, hiyo ni red flag ya kimataifa. 2. 📵 “Usinipost please” Anaogopa kupostiwa kama vile mwanaharakati...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Kuna uhusiano gani wa kisaikolojia kwa wanawake wenye elimu, wajuaji,wanaojiona wazuri,wenye mambo mengi au kujiona wajanja wa mjini,kuishia na wanaume dhaifu kwa maana wanaume ambao siku za nyuma...
19 Reactions
232 Replies
8K Views
Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo. Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli...
6 Reactions
24 Replies
972 Views
Unakuta mdada ameshakula starehe za kila aina sasa anaona muda umeisha anaanza kusumbua vijana eti nioe tu wakati huo na mimi bado nakula ujana Wadada msitulazimisheni kuwaoa baada ya kuona umri...
21 Reactions
40 Replies
2K Views
Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Nipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa. Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye...
10 Reactions
84 Replies
3K Views
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo. Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna...
4 Reactions
9 Replies
669 Views
Poleni sana na matatizo yanayoendelea nchini niseme ukweli najuta kuzaliwa nchi hizi za kiafrika. Tukiachana na hayo kuna tukio limetokea huku kijijini kwetu mtoto wa miaka 16 hivi alibakwa na...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…