Habari zenu wakuu
ONYO, siandiki kama matangazo ya biashara
What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa...
Nilimpata mwanamke tu nilipomaliza masomo yangu tumekuwa wote kwenye mahusiano Kwa muda wa mwez mmoja sasa
Lakin nimechoka kabisa huyu mwanamke tukitoka labda kwenda sehemu muda wote kaniganda...
Mke huyu Wa mtu ambaye ni x-wangu aliyenitoka nduki sababu ya udhaifu Wa kipesa na mipango, km nilivyowaisema huko nyuma, tulikuwa bado tunachat kimtindo (kuchat tu).
Kwa kuhofia yasiyojulikana...
Hawa watoto wa kike wanaofanya field siku hizi sijui wamekuaje; Siyo waoga kabisa, sijui hupania au vipi;
Watoto hawa hawajui kukataa, watoto wananjaa kama mchwa, watoto hata uwe na mtambi kama...
THE BEST WAY TO *** A LADY !!
.
1. Look deep into her eyes and make sure you dont shy away.
.
2. Hold her to zero distance.
Make sure your chest gets in touch with her Boobs and feel the warmth...
Nachukua nafasi hii kukupongeza wewe mh.Sugu mbunge wa mbeya mjini kwa kumpata mama yako atakayejua unakula nini,unalala wapi,unavaa nguo gani na kujua ulipo kila wakati.
Nina imani mwanzoni...
Katika pita pita zangu za mwezi uliyo isha nilikuwa katika harakati za kufatilia kitambulisho cha NIDA coz mimi ni mtumishi wa serikali, nikakutana na dem sasa ghafla mwenzangu ninae fnya nae kaz...
Tumeshaitwa ma baharia sana mjini na tumeshajiita mabaharia vya kutosha. Sasa ni muda wa kujipa mapumziko na kuanza kuwazungumzia mabaharia halisi; mabaharia wa kike wa nchi kavu.
Baharia wa kike...
1. Usifikirie kabisa kwamba mwanamke wako atabadirika,jinsi mlivyokutana na mwanamke wako ndivyo atakavyokuwa maisha yake yote,usije ukamuoa mwanamke kwa kujipa moyo kwamba utakuja kumbadirisha...
Binafsi kuna huu WIMBO wa QUEEN DARLEEN ft HERMONIZE (mbali)
WIMBO huu ulitoka majira ya Kama saa 8 usiku hivi nami nikawa Ni miongoni mwa wakwanza kuitazama.
Aisee niliwaza mbali Sana, jinsi...
TAZAMA MFANO HUU.
Umerudi kazini, umekaa na mama watoto, kashika simu yake kageukia kule, wewe umeshika yako umegeukia huku unaperuzi mtandaoni. Mara unakumbana na kavideo fulani hivi...
MTUME MUHAMMAD اصلا الله عليه وسلم ALIPATA KUULIZWA NA SWAHABA WAKE JUU YA "Ni yupi wa kutendewa wema zaidi katika wazazi wangu wawili na ndugu zangu?, akajibu 'Mama Yako', akaulizwa nani...
Watoto hawaruhusiwi kunywa pombe mpaka wafikishe umri wa miaka 18 na nchi nyingine 21. Mzazi unapomtuma mtoto awaletee bia wewe na marafiki zako ni sahihi?
Nionavyo mimi mtoto asihusishwe na...
Wanajamvi...
Hebu tusaidiane kitu hapa....
Kwenye mechi ya kujamiiana kati ya mwanamke na mwanaume huwa kuna rounds. .
Round ya kwanza ni ile mnayoanza nayo ambayo inasemekana inakua fupi sababu...
Kama mpenzi au mchepuko wako anaomba sana vocha basi mwambie atumie njia hii hapa, hata kusumbua tena na akishindwa basi, hana shida na vocha,,,,,
https://jamiiforums.com/sfQFsV4cPZ
Baada ya kufika lodge jamaa aliniomba kusubiri nje akaingia ndani(reception)kuulizia vyumba baada ya dakika chache akarejea na funguo mkononi akiashiria tuelekee chumbani kupumzika baada ya...
Una mke mzuri lakini unamused kuwa na mchepuko. Kuua so unapotoa mchepuko hutaki umma ufahamu hivyo unakuwa na rafiki yako best pembeni. Kwakua huyu rafiki yako hajaoa ni rahisi watu kufikiri huyu...
Habar za muda huu wanajamii. Mim ni mdada wa miaka 29, Muislamu ninaishi na HIV+ na nimejikubali kwa hiyo sio jambo ambalo linalonisumbua. I am physically fit Alhamdulillah,
Changamoto kubwa ni...