MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
Nachukua nafasi hii kukupongeza wewe mh.Sugu mbunge wa mbeya mjini kwa kumpata mama yako atakayejua unakula nini,unalala wapi,unavaa nguo gani na kujua ulipo kila wakati.
Nina imani mwanzoni ulizoa mwanamke wa kuzoa ukasahau kuwa wenzako wanachagua wakati wa kuoa huenda ulikuwa utoto sasa umekua.Mungu akubariki na akutie nguvu kuu ktk maisha yako mapya.
Hakika hafla yako ilifana mno ktk kanisa lako la katoliki parokia ya mwanjelwa jijini Mbeya.
Ndoa yako na iheshimiwe na watu wote ,Amina.