MREJESHO: Imewezekana wadau!

MREJESHO: Imewezekana wadau!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,854
Reaction score
5,714
Mke huyu Wa mtu ambaye ni x-wangu aliyenitoka nduki sababu ya udhaifu Wa kipesa na mipango, km nilivyowaisema huko nyuma, tulikuwa bado tunachat kimtindo (kuchat tu).

Kwa kuhofia yasiyojulikana, nilishauriwa (zaidi na wanaJF humu) kuacha mara moja kuchat nae....kumkaushia. Nilikuwa kwny dilemma maana kiukweli anajua kuchat kweli huyo binti....pia kumkaushia au kumchana nalo lilisumbua kdg. Nilijikaza na hatimae nikaamua kumchana wazi kuwa kuchat nae sasa si salama kwangu, km vp asubiri hadi mwaka wowote atakaokuwa huru kwan kwa sasa mi naona km ananichukulia kuwa ni boya tuu flani.

Ni wiki ya 3 sasa sijaona txt yake yoyote (sijui nae alikuwa anangoja kwa hamu kuambiwa hivyo?!!!!!)....nahesabu kuwa nimefanikiwa sasa kuachana rasmi na mke wa mtu km mlivyoshauri. Makofi kwangu tafadhari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom