Bora nitoe sehemu zangu za siri nipumzike

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Nilimpata mwanamke tu nilipomaliza masomo yangu tumekuwa wote kwenye mahusiano Kwa muda wa mwez mmoja sasa
Lakin nimechoka kabisa huyu mwanamke tukitoka labda kwenda sehemu muda wote kaniganda kama tumefungwa kamba hata nikimwambia subir hapa nikojoe lazima anifuate aangalie kwel mkojo unatoka? Akipita dukan kununua kitu hata vocha hatak utangulie umsubir ukitangulia kidogo tu kelele nyuma ohh my mbona unaniacha my simama my simama jamani mimacho ya watu njian yote kwangu mpaka naogopa hapo maswal bado hajakuuliza kwann umeniacha ananishika begani mara kiunoni kero sasa huu mzigo nitautuaje me
Hata kama mapenzi siyo haya najuta akija ghetto nikitoka kidogo tu simu inapigwa usipopokea au upokee then uchelewe kuongea utamkuta macho mekundu amelia weeeee mpaka bhas akikuhitaji hata saa nane za usiku uende usipoenda atatuma sms mpaka asbh analalamika et anaumia........
Nisaidie naona kama mapenzi yapo hivi bora niachane nayo niondoe visababishi vya mambo yote haya
 
UNA HAM YA KUINULIWA WEWE
tapatalk_1564928660401.jpeg
 
Kuna threads zinaniongezeaga siku, kama hii mana naishiaga kucheka.
 
Ukiachana nae atakufa huyo
Nilimpata mwanamke tu nilipomaliza masomo yangu tumekuwa wote kwenye mahusiano Kwa muda wa mwez mmoja sasa
Lakin nimechoka kabisa huyu mwanamke tukitoka labda kwenda sehemu muda wote kaniganda kama tumefungwa kamba hata nikimwambia subir hapa nikojoe lazima anifuate aangalie kwel mkojo unatoka? Akipita dukan kununua kitu hata vocha hatak utangulie umsubir ukitangulia kidogo tu kelele nyuma ohh my mbona unaniacha my simama my simama jamani mimacho ya watu njian yote kwangu mpaka naogopa hapo maswal bado hajakuuliza kwann umeniacha ananishika begani mara kiunoni kero sasa huu mzigo nitautuaje me
Hata kama mapenzi siyo haya najuta akija ghetto nikitoka kidogo tu simu inapigwa usipopokea au upokee then uchelewe kuongea utamkuta macho mekundu amelia weeeee mpaka bhas akikuhitaji hata saa nane za usiku uende usipoenda atatuma sms mpaka asbh analalamika et anaumia........
Nisaidie naona kama mapenzi yapo hivi bora niachane nayo niondoe visababishi vya mambo yote haya
 
Unasumbuliwa na utoto, ukikua utaacha
 
Back
Top Bottom