Hivi umewahi kusikiliza WIMBO ukakugusa hadi ukatoa machozi / ukalia?

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Binafsi kuna huu WIMBO wa QUEEN DARLEEN ft HERMONIZE (mbali)

WIMBO huu ulitoka majira ya Kama saa 8 usiku hivi nami nikawa Ni miongoni mwa wakwanza kuitazama.

Aisee niliwaza mbali Sana, jinsi nilivomfanyiaga x wangu enzi hizo, nilikwenda kutafuta maisha nikarudi na MPENZI mwingine daaah nilimuuliza Sana, kutokana na uchungu ikabidi tu mwisho wa siku aolewe na mtu ambaye hata hakumpenda.

Kiukweli laana ya yule binti bado inanitafuna Hadi Leo, na bado anasema kuwa ananipenda Sana.

MWANAMKE AKIPENDA ANAPENDA KWELI.

Nisamehe mpenzi ZAKIA popote ulipo.
 
Yeah nyingi sana ..but sio hizi za kibongo. ...
Sometimes huwa nalizwa na rylics au uzuri wa melody zinasisimua mpaka napata goosebumps. .....

Kama Kuna ngoma 1 hivi ya MJ inaitwa Ghost. ..acha kabisa
 
Dahh yaan umenigusa aiseh yaan dah
Binafsi kuna huu WIMBO wa QUEEN DARLEEN ft HERMONIZE (mbali)

WIMBO huu ulitoka majira ya Kama saa 8 usiku hivi nami nikawa Ni miongoni mwa wakwanza kuitazama.

Aisee niliwaza mbali Sana, jinsi nilivomfanyiaga x wangu enzi hizo, nilikwenda kutafuta maisha nikarudi na MPENZI mwingine daaah nilimuuliza Sana, kutokana na uchungu ikabidi tu mwisho wa siku aolewe na mtu ambaye hata hakumpenda.

Kiukweli laana ya yule binti bado inanitafuna Hadi Leo, na bado anasema kuwa ananipenda Sana.

MWANAMKE AKIPENDA ANAPENDA KWELI.

Nisamehe mpenzi ZAKIA popote ulipo.
 
I was thinking about her thinking about me thinking about us what we gonna be open my eyes it was only just a dream
So I travel back down that road Will she come back no one knows I realize it was just a dream
Hiii nyimbo ya Nelly huwaa naikubalii sanaaa huwaa natuliaaa kuisikilizaaa
 
Wimbo wa Mosese wa Orch Makassy! Nikiwa mdogo marehemu kaka yangu alikuwa akiupenda sana! Alikuwa my best friend, he taught me everything! then he just left us like that! He was too young to die! Nalia tena jamani aargh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom