Wadau embu ifike mahala tuambiane ukweli. Niliwahi kuwa na mentality ya kijinga kidogo hapo kitambo kwamba ili uwe au uonekane kidume umtandike demu mimba.
Na nimewahi shauri watu hapa waache...
Katika maisha ya mtu ana chaguo lake sasa issue inakuja mimi natamani sana nipate watoto shombeshombe waliochanganya damu yaani nizae na binti wa rangi nyingine asiye mtanzania au mwafrika
Ndoto...
Wadada wapo kwa ajili ya mabaharia,na mabaharia wapo kwa ajili ya wadada; ikitokea mnahitajiana ni vizuri kuelewana kwa njia iliyostaarabika. Bila kustaarabika ndio ile inafikia miaka 45+ bado...
Maisha ya mwanaume bila mwanamke hayajakamilika.
Utakunywa pombe, utalewa, na utarudi katika hali yako ya kawaida, lakini pale kati hapajakamilika
Utatembea nchi zote duniani na utarudi nyumbani...
Imagine umepata mpenzi wako mpya halafu anakuambia muende kupima Virusi vya Ukimwi ( VVU) na ikatokea kwa bahati mbaya utachukua hatua gani?
Wengi hapa huishia kukatisha mahusiano. Lakini je...
Natumai mmeamka salama wakuu,
Vidume wenzangu tabia ya kujigamba mbele za watu eti mkeo ni mwaminifu hawezi chepuka, imemtokea puan rafiki yangu.
Kila siku alikua anavimba kijiweni eti mkewe...
Vijana wa leo 'brothen men' sana!
Kila kijana anayefunga ndoa eti anafungia mjini anakoishi, anakofanyia kazi badala ya kurudi kijijini ulikozaliwa, ulikokulia ama ulikotoka na ndio kwenye baraka...
Du aya mambo kama chapaa akuna ndio kwaheri utakula kwa macho naona Bonge la kizinga hapa any way povu lukusa lukusa lukusa ahaaaaa NB blue ni ME na
Njano ni KE
Mapenzi ni matamu ila ni gharama. Nimelithibitisha hili baada ya kipindi fulani kwenda kwenye mapumziko ya siku saba na mrembo wangu mwenye chura matata.
Kabla ya kuanza safari nilikuwa nimeweka...
Unajua nyie wanaume waTanzania mna matatizo mingi sana mpaka mnakera sijui mkoje. Niliweka post hapa nikasema nina pesa lakini sijui nitumie nini basi dm wanaume wamejileta wengi ati wa nataka...
Waungwana msaada kwenye tuta, kumetokea mgongano wa maslahi hapa.... nimemwambia ‘asante’ naye kawahi ‘asante’ nikabadili gia angani namwambia Pole naye anajibu Pole.
Hii imekaaje wakuu, nani...
Umepata Bwana, umempenda kweli kweli, umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi, akakupeleka.
Wewe badala hata utake...
Habari wana Jamii Forum.
Nipo kwenye kipindi muafaka kabisa cha kupata mwenza wangu wa maisha. Swala la kumpata mtu sahii wa kuoa/kuolewa ni changamoto hasa zama hizi. Kutokana na kukua kwa...
Watalam wa mahusiano naombeni ushauri kwenye hili. Kuna msichana nampenda sana na natamani kua na mahusiano nae, lakini ye ni kama hataki uku anataka. Nimeshamweka wazi mda mrefu tu lakini...
Hapo kabla, kuna binti nilkua nae kimapenzi tuna mwaka kwa sahivi, na kuna kipindi tunaachana na kurudiana, ila kwa sahivi inshort sio mpenzi wangu, ila hua nakula mzigo.
kama mwezi na nusu...
James ni mtoto wa pekee kuzaliwa, wazazi wake walikuwa fukara mno na uzazi uliwapa shida. Mama yake alipata ujauzito akiwa na miaka 40+ bahati mbaya alifariki akiwa anajifungua. Ndugu...