Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tumia muda wako kufanya kazi na siyo kuhangaika na mapenzi. Unakutana na pisi kali unaomba namba unaanza kuwa busy nae we unadhani ameonekana na wangapi kabla yako na ni wangapi wanaomtaka ...
14 Reactions
9 Replies
841 Views
Nina Nyumba mbili, Nina Gari, nina kampuni, nina miradi. Umeona tayari nina unafuu wa maisha, unataka nikuoe. Wewe Huna kazi wala Biashara, mbaya zaidi Huna bikira. Hivi huoni kuwa unanionea...
15 Reactions
22 Replies
793 Views
1. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa) 2. Chagua mtu unayemwamini 3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana 3.Chagua mtu...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Siitaji kusifiwa maana nishasifiwa sana Ila ni mwanamke ambae kila mwanaume anamtamani Mara nyingi nimeshawahi kwenda nae BAR kwa heshima watu wanatupisha kutuachia seat tena madingi na heshima...
1 Reactions
14 Replies
661 Views
Ni Kawaida au Ni Tatizo? 1. Ukweli wa kwanza: Hasira ukikosa pesa ni ya kawaida lakini inaweza kuwa hatari Hii hali inatokea kwa watu wengi sana. Si wewe tu Si vijana tu. Hata watu wazima, hata...
2 Reactions
11 Replies
374 Views
Kama ulikuwa hujui basi nikutoe tongotongo kuna familia zina watoto 7 na kuendelea, nimewahi kuiona familia ina watoto 11 tumbo moja, hadi sasa kuna moja alifariki wamebaki 10. Kwenu mliowahi...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa wa humu ndani. Jaman nimewamiss mno , wapo wachache nimebahatika kukutana nao na hata wale ambao sijawahamu ,naamini ipo siku tutakutana. Namiss utani,vicheko na baadhi ya...
5 Reactions
35 Replies
834 Views
Habari zenu wakuu. Poleni sana kwa yote tuliyopitia na tunayoendelea kupitia ndani ya taifa letu. Wakuu, ukiwa katika mchakato wa kuoa/kuolewa (engagement, send off& kufunga/kubariki ndoa)...
19 Reactions
108 Replies
2K Views
Wanaume hatuna masihara nanyi Wachunaji na tutawarogeni sana tu hadi mkome na mnyooke.
1 Reactions
6 Replies
360 Views
Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye...
1 Reactions
4 Replies
389 Views
Leo Tena. Tukiwa bado na maombelezo ya vijana wenzetu nimeona si mbaya tupate vinywaji baridi kidogo. Dada yangu sisi wanaume tunapokuwa na jambo letu huwa tunasaidiana kwa hali na mali na kwa...
6 Reactions
30 Replies
964 Views
1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti. 2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika. 3. Unaacha kuwahukumu...
10 Reactions
7 Replies
757 Views
Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu, sijui walizinguana nini, saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu (yaani mpenzi wake) na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu...
49 Reactions
140 Replies
7K Views
A 19-year-old woman recently gave birth to twins, but the shocking twist is that each baby has a different biological father — a rare medical phenomenon known as heteropaternal superfecundation...
1 Reactions
9 Replies
478 Views
Habari wadau... Baada ya ahadi ya miaka mingi moyoni mwangu ya kwenda kutembea na kuijua tanga isemwayo kwa mengi. Sasa imewadia na nahitaji kutimiza nlichokiahidi moyoni mwangu. Nataka sasa...
1 Reactions
3 Replies
287 Views
Hivi mimba zote ndio zilivyo hivi mtu ana lia bila sababu una bembeleza mpaka una pata hasira una amua kwenda mbali ukirudi tu ana weza kukuuliza swali wewe uka mjibu vizuri Lakini aka angua...
10 Reactions
80 Replies
1K Views
Salaaam mabibi na mabwana salam marafiki zangu Tupo na shughuli zetu za kujenga taifa letu kama kawaida Mdada mmoja wa rika lapata miaka 33 anatoa simulizi kwamba ana jirani yake amepatwa na...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!! Huyu rafiki yangu...
2 Reactions
53 Replies
3K Views
Sidhani kama mimi ni mzembe ila pengine nimekuwa mwema sana kwenye dunia iliyojaa hayawani. Iko hivi, miaka mitano iliyopita nilimtongoza binti mmoja aliyekuwa anavutia kwa macho ya wengi hasa...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom