Yapata siku tatu mke wangu hatukuwa na maelewano, nyumbani hakukaliki.
Ilibidi mpaka apewe bedrest baada ya kukaa sawa akaruhusiwa ila akawa bado hajanisamehe.
Mwanaume nikafikiria nifanyaje ili...
Ndugu zangu,ukisikia njia panda Kali ndiyo hii!!
Mwaka 2010 niliachana na mpnz wangu nliyempenda sanaaa,ktk kipindi hicho cha mpito nilikutana na msichana mmoja mkoani huko,nikamtongoza...
Kwa wale ambao wameoa au kuolewa na wanauelewa wa sheria za ndoa nilitaka kujua sheria hii imekaaje pale mimi ninapo oa na baada ya kuoa mzazi wangu akanipa nyumba ya kwenda kuanzia maisha ,gari...
Serikali zote duniani kwasasa zinapigania 50/50 kuwafanya wanawake wawe pia viongozi katika sekta ya umma tafiti zinaonyesha wanawake sio wabadhirifu pia ukiwasaidia faida inaenda moja kwa moja...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, napenda kuutumia muda huu kuwaomba na kuwashauri wanaume wenzangu kuwa, ikitokea umempa binti/msichana mimba katu usiikatae lea mimba kisha lea mtoto hata...
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, wengi saaana tumepata ajali na kujeruhiwa mioyoni. Wenye mioyo miepesi huwa wanajiua. Asee si wanawake au wanaume, hakuna mjanja katika ulimwengu wa mapenzi...
Wakuu Mimi na tatizo moja ambalo linanikuta katika mahusiano.
Mara nyingi kama sio mara zote nimekuwa najikuta nimeangukia katika mapenzi na watu walionizidi umri. Sio masugar mama hapana ila...
7 WAYS TO DISCOVER THE WILL OF GOD IN MARRIAGE
A lot of things have been said and written about the will of God in marriage. Many people, especially Christians, are concerned about marrying the...
Wakuu habari za leo, ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
Leo naomba tuujadili ushenzi wa mzungu jinsi alivyo tumia nguvu nyingi na kutumia mistari ya kwenye biblia kuaminisha waafrika kuwa...
Salaam kwenu wana MMU!
Naleta kwenu mjadala huru huu. Hivi ikatokea kwa pamoja ukapata aidha safari ama mizunguko mkawa na mama yako mzazi, kama mwanaume ndiyo unaendesha gari hilo yupi kati yao...
Poleni ma majukum
Siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu hivi nyuma nimekua sina ashki na tendo la ndoa yani sisikii raha yoyote pale ninapofanya tendo la ndoa
Kabla ya kufanya tendo ninakua...
Baada ya kukagua nyumba yao, wenye nyumba wanaweza kuchagua kuibomoa au kuirekebisha. JE, NDOA yako imefikia hatua hiyo? Huenda mwenzi wako amekosa kuwa mwaminifu au ugomvi wa kila mara umefanya...
Najua tunawapenda sana wanawake/wapenzi zetu lakini kuna vitu hadi na leo hii kuna baadhi ya wanaume hawavijui achilia mbali kuvifanya kwa wapenzi zao, kuna mambo mawili magumu yanayowashinda...
Ukitoa kula, kitu kingine ambacho ni muhimu kwa binadamu ni kufanya mapenzi. Hata wanyama nao wamepewa zawadi hii.
Angalia mbwa, tena hawa viumbe wanafaidi sana wanafanya mpaka mwisho...
Konichiwa,
"Catalyst is a substance that increases the rate of a chemical reaction without itself undergoing any permanent chemical change"
Kuna msemo mmoja sijui nani aliusemaga unasema...
Habari zenu wakuu katika jambi letu hili pendwa. Leo nataka kuelezea vile nilivyojikuta nimenaswa kihisia na mtu mmoja aitwaye imeldaB . Huyu bidada alikuwa anatafuta mume mie nikasema wacha...
Wana MMU
Kuna rafiki yangu amekuwa kwenye ndoa karibia miaka 10 sasa .. Hivi majuzi ndoa yao imeanza kupata migogoro ambayo yeye binafsi hajui chanzo chake nini.. Mwazoni alihisi labda mkewe...