salama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda...
Mambo Zenu Wadau Wa Jukwaa Pendwa La MMU, Bila Shaka Mtakuwa Mnaendelea Vizuri Na Wazima Wa Afya, Pili Ningependa Kutoa Pole Kwa Wakazi Wenzangu Wa DAR Kwa Jua Kali Linaloendelea Kuwaka.
Nikirudi...
Habari wapendwa,nataka kupeni mkasa wa ukweli uliompata jamaa ninayemfaham muda mrefu kidogo. Miaka hiyo katika makuzi ilitokea kuishi maeneo ya kota za shirika fulani la kilimo la serikali,hivyo...
Salaam wakuu
Mtaani kwetu kuna msichana mzuri hakuna mfano wake! Jicho la kurembua, pua kama mnyarwanda, midomo ya kunyonya, sauti kama kinanda yaani akisema unahisi moyo unabadili mapigo...
Kubali tusikubali hili nalo ni tatizo kubwa sana kwanza kwa kijana unakwaza wazazi wako. Kwanini uwaanzishie wazazi wako na wajukuu wakambo? Sawa umempenda mke wako japo ana mtoto lakini huoni...
Wana Jf,
Ndoa ni jambo la Baraka sana..na vijana wengi waliofikia umri wa kuowa huwa wanatamani kuingia kwenye maisha ya ndoa….japokuwa huwa tunajiuliza maswali mengi mno …kuwa ni mwenza yupi...
Ni muda mrefu sanaaa zaidi ya mwaka na sijapata nafasi ya kupitia jukwaa la Mapenzi labda kutokana na ubize au jukwaa la mapenzi kukosa mada za kushawishi na kujifunza kitu Kipya. Mara nyingi...
Habari za Weekend Wakuu Hivi umeshawahi Kuomba Msamaha mwenzawako huku ukijuwa kbs kosa hujalitenda wewe.?
Lakini hukuwa na budi Kuomba Samahani?
huwa unaichukuliaje hali hii.?
Sent using Jamii...
Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo; Kama ulikuwa na wapenzi wengi mfano watano (5),chukua pesa kidogo labda 250,000,na kila mmoja mpatie 50,000 akaifanyie...
Leo siku tulivu kabisa kwa upande wangu, nimeona nidedicate hii hit song ya Alaine You are me. kwa Jf memberz wote esp wanajukwaa hili, unaweza ku-mention mtu kama ishara ya kudedicate
enjoy...
Ni binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana niende kwenye mada;
Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(Africanas) akaomba...
Wiki kadhaa zilizopita nilileta uzi humu kuomba ushauri kuhusu tabia ya mke wa mpangaji mwenzangu
Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu - JamiiForums
Nimefanikisha kuhama hapa nilipokuwa nakaa japo...
Week ile iliyopita mimi sikwenda kibaruani sababu ya mambo kadhaa yaliyo juu ya uwezo wangu.
Basi nikiwa nmetulia sebuleni kwangu nikasikia hodi kuchungulia nikamwona baba mwenye nyumba.nikajua...
Mimi ni kijana ambae sijaoa na nimepanga chumba ambapo hapo napoishi anakaa jamaa fluani mwenye mke na mtoto mmoja.
Mimi na jamaa wote tunashinda kwenye mishe zetu bt inatokeaga muda mwingne...
Usije ukathubutu ukaoa,katika vitu ambavyo mwanaume hutakiwi kufanya Ni kuoa,hakuna kitu ambacho ukiwa bachela unakikosa kwamba ukioa ndo utakipata,ila ukioa Kuna vitu vingi sana utakuwa...
Licha ya mapungufu yake madogo ni kitu gani kinafanya Uendelee kumpenda mpenzi/mke/mume wako?
Je kwa sababu umezaa nae/kwa sababu anajua kufanya mapenzi/Kwa sababu huwezi ishi bila yeye?
Ni...
Najiulizaga kwanini Tukiwa tunajiandaa kuingia mzigoni huoneshana Mahaba mazito mazito tunaogeshana tunabebana kuvuana Nguo.
Lakini tunapomaliza tendo Kila mmoja ushika 50 zake Hakuna ile...
Mwaka jana mwezi wa 9 nilipokea text WhatsApp kutoka kwa ndugu yangu (mdada) ya mchango wa harusi.
Mzee mzima nikajichanga nikarusha 50,000/- Mpesa kupitia kwa msela Wangu yupo bongo japokuwa nipo...
Akupendae humpendi,umpendae hakupendi.
Ni vile watu kutokujua tu,ukitaka penzi la kweli mkubali mtu anaekupenda,kwa sababu atakua mtiifu,mvumilivu,msikivu kwako na ,anayekujali.
Atakupa penzi...
Habari wadau natumaini ni wazima wa afya,kuna kitendo nimekiona kimetokea mahali nikaona niwashirikishe na nyinyi ili muweze kutoa mawazo/maoni yenu.
Kitendo hichi kinamuhusisha jamaa mmoja ambae...