Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

girls, ninani hua anakufikisha kileleni Mume wako, boyfriend wako au mchepuko wako ?
1 Reactions
8 Replies
322 Views
Mwezi wa Desemba ni mwezi wangu wa kuzaliwa. Kila mwaka nautumia mwezi huu kama fursa ya kuwakumbuka na kuwagusa wale wanaoishi mazingira magumu, hususan watoto na wazee wanaoishi mtaani bila kuwa...
8 Reactions
22 Replies
425 Views
KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
December hii najua tulio wengi tupo nyumbani na familia zetu Nawajuza kama ulikua mbali na mkeo, chukua simu yake nenda kwenye blacklist. Angalia namba zilizopo huko Amini nakuambia...
5 Reactions
19 Replies
599 Views
Jana kuna dada kanipa utumbo, ama hakika ndizi utumbo ladha yake ni tofauti kabisa na ndizi nyama! Japokua ndizi utumbo bei yake imechangamka kidogo, wataalamu wa mambo wanakwambia utumbo mzuri...
13 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa. Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani. Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari zenu me nikijana mwenzeni nina umri wa miaka 25 nimetaja miaka ili mtu anaponishauri haitompa ugumu katika kutoa ushauri. Nina hali ambayo inanisumbua kwa upande wangu ni jambo kubwa na...
2 Reactions
13 Replies
481 Views
Wakuu salama? Hivi ni sahihi kwa mpenzi wako kukusalimia eti "shikamoo baby " hata kama umemzidi umri?
11 Reactions
28 Replies
1K Views
Wewe ni mzuri ndio hatukatai. Una wowo ndio hatukatai. Unanyota kali kila mwanaume anakuulizia na kukuzimikia ndio hatukatai. Kwamba unaenda viwanja vikubwa na watu wazito wenye pesa zao Ndio...
5 Reactions
23 Replies
824 Views
WAKUU KILE KISA CHA MSHANGAZI AMBACHO NILIWAAHIDI NDIO HIKI HAPA. Hiki kisa kinanikumbusha kipindi Mama yangu mzazi alipo gundua kuwa nimeanza kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi (kushenyenta)...
13 Reactions
232 Replies
13K Views
Ladha ilikuwa tofauti na siku zote! Kumbe ile tamu ilikuwa ya mama mkwe[emoji848][emoji40] Mavi ya kale hayanuki! Hii ni story yangu mwenyewe! With time passed kuna vitu havina madhara tena hata...
120 Reactions
343 Replies
53K Views
Kuna hii imani ya kishirikina kuwa hata kama huna hela UOE kwa sababu mwanamke huja na baraka ya kipato. Ni upuuzi mtupu. Hakuna kitu kama hicho. Usiishi kwa kutegemea miujiza. Jiambie ukweli kuwa...
18 Reactions
52 Replies
1K Views
Nimekuwa kwenye mahusiano na wanawake wa kibongo kwa miaka kadhaa, na kwa kweli, nimejifunza vitu vingi vya kunifanya nijute. Sio kwamba wote ni wabaya, lakini wengi wao wana tabia ambazo...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwaka 2000 nilikuwa namtongoza dada mmoja, alikuwa katibu mkuu wa wizara fulani, nilikuwa namtaka mno. Sasa nikamtumia sms ya kumsalimia, badala ya kuandika hujambo? nikamuandikia hujambi?Aisee...
8 Reactions
27 Replies
952 Views
Imagen umemuacha mtu nyumbani toka asubuhi hakuna kitu amefanya unarudi zako home upumzike unakuta chumba kichafu hajabadili shuka zaidi kaongeza nguo kitandani ukiuliza nini tiktok anacheka...
14 Reactions
76 Replies
2K Views
Moyo wangu umeumia Sana jamani Niko down Sana Natafuta faraja tu Hata pm ,email . Karibuni
17 Reactions
144 Replies
4K Views
Changamoto inayowakupa mabinti pamoja na vijana wengi wa kiume ni kuhofia kuitwa wazazi, changamoto inayowapelekea kukosa uzao wakiwa bado vijana Kijana wako akikupa ujauzito tunza kamwe...
18 Reactions
123 Replies
3K Views
You're not as strong as you think. Uzi tayari
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine , ni ubatili mkuu kama serikali ya CCM .Lakini hasara za kutapeliwa katika ndoa zinatofautiana kati ya mtu na mtu ..Hivyo basi wewe kama kijana ili walau uwe...
11 Reactions
36 Replies
873 Views
Wana Jf salaam Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom