Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Moyo wangu umeumia Sana jamani Niko down Sana Natafuta faraja tu Hata pm ,email . Karibuni
17 Reactions
144 Replies
4K Views
Changamoto inayowakupa mabinti pamoja na vijana wengi wa kiume ni kuhofia kuitwa wazazi, changamoto inayowapelekea kukosa uzao wakiwa bado vijana Kijana wako akikupa ujauzito tunza kamwe...
18 Reactions
123 Replies
3K Views
You're not as strong as you think. Uzi tayari
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine , ni ubatili mkuu kama serikali ya CCM .Lakini hasara za kutapeliwa katika ndoa zinatofautiana kati ya mtu na mtu ..Hivyo basi wewe kama kijana ili walau uwe...
11 Reactions
36 Replies
873 Views
Wana Jf salaam Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Oya wakuu nimeachwa ata kablya Yesu hajazaliwa🙌😭😭💔 mapenzi ni ujinga
10 Reactions
50 Replies
1K Views
Kufanya mapenzi ni sehemu ya maisha, na ina faida nyingi za kiafya na kijamii. Mojawapo ikiwa ni kupata watoto, lakini pia ni sehemu ya starehe ya wanyama. Kufanya mapenzi huwa na msaada wa...
14 Reactions
32 Replies
12K Views
Hizi hatua sijui kama wengi wanazipitia, na pia wapo wanaokwama kwenye hatua moja muda mrefu. i. Just look at a girl. Unampenda manzi fulani lakini husemi, wewe nikumzoom tu. ii. Hug a girl...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
JE, MAPENZI YA KWELI YAPO? AU NI NDOTO TU? 🌹 Mapenzi ni hisia tamu ambazo kila mtu anatamani, lakini je, mapenzi ya kweli yapo au ni hadithi tu? Wengine wanaamini kuwa mapenzi ni kujitoa bila...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Awe kuanzia 25 mpaka 50. Mwenye biashara zake au kaajirawa. Dini yoyote, kabila yoyote. Mimi mfanyabiashara. Niko 50+ Karibuni warembo
5 Reactions
52 Replies
864 Views
Habari? Je, Kuna uwezekano mchumba yuko Tanzania na mchumba mwingine yuko japan halafu mchumba aliye Tanzania na na wadhamini wake na WAZAZI wa pande mbili wakaenda kwa ofisi ya DC na wakafanya...
1 Reactions
5 Replies
253 Views
Kila mmoja huwa anajisikia upweke baadhi ya nyakati.Upweke haubagui,hauchagui unatokea kwa watu wote duniani matajiri kwa maskini,wasomi na wasiofika shule,wazee kwa vijana,waliopo kwenye...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Haina haja ya salamu watu tupo busy. Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni...
32 Reactions
137 Replies
8K Views
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu. Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia...
40 Reactions
540 Replies
15K Views
KAMA MWANAUME Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO. Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo Ndani ya ngono kuna BARAKA...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume...
34 Reactions
186 Replies
14K Views
Wanawake wanataka nini kwa mwanaume wasicheat? Bas kimoja tu
3 Reactions
28 Replies
748 Views
Wakuu Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu...
29 Reactions
318 Replies
11K Views
Hiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea...
17 Reactions
131 Replies
5K Views
Back
Top Bottom