Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Juzi nlikuja na Uzi hapa kuelezea matatizo ya mahusiano yangu na mke wangu Jana kaja home na watoto kwa ajili ya likizo fupi ya sikukuu Kwanza wakati anaanza safari kaanza na gubu na...
39 Reactions
92 Replies
7K Views
Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie...
3 Reactions
47 Replies
812 Views
SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo...
6 Reactions
21 Replies
851 Views
How To Know A Woman That Is Ready For Marriage! Many women are waiting for marriage, but they are not ready for marriage. Some women may have married without these qualities, but it will show in...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Umri wangu: 38 Jinsia: Dumesimba Kazi: Body builder Location: Dar es salaam Dini: Mbudha Sifa za binti naemtafuta Umri:16+ Jinsia: Jikeshupa Kazi: Yoyote Location: Popote
3 Reactions
18 Replies
959 Views
Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu. Mimi ni mwanaume wa miaka 36 Mrefu - maji ya kunde Sio mnene...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Miaka 7, 8 , 10 . Gape Si ni sawa kuoa😀 Kuna binti hapa nimedata nae
8 Reactions
65 Replies
1K Views
Mwanaume yeyeote atanielewa! Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana. Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani. Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana...
10 Reactions
37 Replies
911 Views
Wengi wetu hujiuliza kwa nini maisha ya mapenzi ya mbali huwa hayafiki mbali na kubaki wa kijiuliza tatizo ni nini? Wakati mwingine watu huanza kuulizana mchawi ni nani katika mapenzi yao. Laa...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea...
17 Reactions
27 Replies
868 Views
Mke anakununia siku nzima yaani hataki kuongea na wewe kabisa afu asubuhi niache matumizi wakati ameninunia
11 Reactions
28 Replies
994 Views
Kaniita anaanza kuniambia mbona hauko sawa unamawazo gani yeye YANA muhusu nini Huo mtego siingii ng'oo
9 Reactions
21 Replies
965 Views
I had came home from school , dropped my bag in the middle of the floor , and walked into the kitchen to get something to drink ...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Aise hii tabia kwenye mahusiano ambayo mke au mume au wapenzi wanashika simu na kuanza kupekua haina afya kabisa. Simu nimenunua kwa pesa yangu au mwanamke kanunua kwa pesa yake, sioni ulazima wa...
9 Reactions
27 Replies
976 Views
Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana. Kuna dada mmoja nampenda...
7 Reactions
45 Replies
1K Views
Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto...
7 Reactions
68 Replies
3K Views
Inauzunisha sana kuona kijana anafanya kazi na kupata kipato halafu karibu hela yote inaishia kuhonga. Ifike hatua vijana tujenge mazoea ya kufanya uwekezaji binafsi. Hata kama kipato chako ni...
28 Reactions
76 Replies
2K Views
Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza! Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma...
9 Reactions
75 Replies
3K Views
Mambo ya falagha yabaki kuwa ni siri baina yenu iwe kwenye ndoa au mahusiano ya kiuchumba. Kuyasema maufundi anayo unayofanyiwa na mwenza wako unawatafutia watu lawama. Kuna baadhi ya wanawake...
3 Reactions
5 Replies
522 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani...
5 Reactions
108 Replies
2K Views
Back
Top Bottom