Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi wanajukwaa la mapenzi! Kila siku mwanaume anataka mchezo nimemvumilia lakini nahisi kuchoka sasa.Akitoka kazini tu hata kuoga anaona anachelewa babe njoo huku nikifika tayari kaliamsha...
20 Reactions
210 Replies
30K Views
Wakuu Wakuu kwema? Hivi kwa wadau tusaidieni hapa, kwa uzoefu wenu kweli kuna urafiki wa kweli kabisaa? Yaani bila hata chembe ya unafiki? Maana unafiki naokuwa nakutana nao kwa baadhi ya...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Nikiwa niko kwenye Karantini la Maskani, ghafla jamaa yangu anakuja mbio mbio. " Brother wanawake ni mbwa kabisa, nimetoka kumfumania shemeji yako na Bwn.Lambalamba Kachupi saiv! Japo sijakuta...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwenye mchakato mzima kuanzia romace, maandalizi mpaka kuchakatana watu tupo tofauti na tunapendelea mambo tofauti. Mimi binafsi sipendi kushikwa shingo na viupele vyangu kifuani nakuwa...
6 Reactions
175 Replies
21K Views
Nawasalim, heading yangu inajieleza wapendwa. Kwa kifupi, Umri wangu ni 32 Mkristo Mfanyakazi Elimu ni degree. Haja ya moyo wangu,Natafuta mdada awe ubavu wangu ili tutengeze familia bora. Sifa...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Unakuta hadi wake za watu macho πŸ˜πŸ˜§πŸ™€ kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita. Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa . Why
5 Reactions
266 Replies
34K Views
Kijana mmoja mwenye Umri wa miaka 24 amenaswa akiwa anamchakata binti wa kidato Cha Sita, mwenye Umri wa Miaka 19 nyumbani kwao na binti, ambapo binti huyo Amejikarantini Kama tahadhari ya...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
1. Wakati shule zikikaribia kufunguliwa 2. Wakiwa wanakaribia kurudi makwao(kama alikuja likizo, kutembelea ndugu etc) 3. Wakati wa sikukuu 4. Outings kama vile matamsha mfano marathoni ilofanyika...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Wakuu habari.. Kuna uzi humu ulikuwa ukitembea kuhusu kuwaasa watu kutooa katika familia maskini/fukara kwa hoja kwamba umaskini unaambukiza haraka sana kuliko utajiri. Ikizingatiwa kwamba...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekuwa nae sasa Miaka mitano tangu anaanza form one ila mahusiano yetu yamekuwa ya simu tu hatujawahi kukaa kitako tuyajadili mahusiano yetu na malengo yetu ni jirani yangu kila siku na muona...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja hapa jijini amejikuta kwenye mgogoro na mume wake wa sasa baada ya kukataliwa kwenda mazishi kwa aliyekuwa mama mkwe wake Iko hivi:Baada ya kuolewa kwa mume wa kwanza walifanikiwa...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Habari wana Jf, Mimi ni kijana mwenye umri wa takribani miaka 30 nahitaji mwanamke ambaye anayehitaji kuwa mke kwa dhati awe serious kwa kweli. Awe muislamu asizidi miaka 35,huduma zote kama mke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sijui nini kinanisumbua huku chini kwa bibi yangu. Nikiwa nasex na mwanaume ninayempenda muda wote nakuwa nimeloa kila mudaa yani akinishika tu hata mguu mm tayar nakuwa wet. Yani sijui nifanyeje...
23 Reactions
421 Replies
42K Views
Gumzo wiki hii ukiachilia mbali Corona ni clip inayomuonyesha huyu dada akifanya mapenzi na wanamme watatu!Ni uchafu kiukweli!Huwezi kuamini pamoja na kwamba ni mke wa mtu na wana watoto 3 lakini...
4 Reactions
105 Replies
15K Views
Habari zenu wapendwa wanajukwaa, Wakuu, mimi nina mpenzi wangu ambaye tumedumu karibu miaka mitano kwahio tunajuana vizuri. Katika mahusiano yetu kuna kipindi inatokea tu namchoka na kila...
4 Reactions
86 Replies
9K Views
Nimepata mwanamke mwenye sifa zote nilizokua natafuta tatizo kanizidi umri miaka mitatu naomba ushauri wenu sababu kuna wakubwa zangu humu wamepitia mambo mengi naomba kujua ni madhara gani au...
3 Reactions
44 Replies
11K Views
Napenda kutoa Salam zang za dhat kwenu wanamemberz wa JF,,na Allah (mwenyezi MUNGU)atuepushe na janga hili la Corona.... Nkirud kwenye mada...naam Mm ni kijana umri miaka 20,,npo DSM nasoma...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Leo katika pita pita zangu kwenye mitandao nikakuta mtandao mmoja watu wanatokwa na mapovu si Me si Ke, ikabidi niulize kulikoni ndio naambiwa wamechoka kuulizwa "fulani utaolewa lini? Fulani...
18 Reactions
343 Replies
29K Views
Msaada tutani jamani,nina rafiki yangu anaitwa fyandomo ameniuliza swali hivi punde lililonifanya nichekeeee kisha nikamwambia nina kazi kidogo nitamrejea kumpa jibu sahihi,lakini ukweli ni kwamba...
6 Reactions
220 Replies
42K Views
Wakuu habari, Leo nataka niwajulishe ndugu zangu waliooa,baadhi ya tabia ambazo ukiziona kwa mke wako,zaidi ya tabia mbili au zaidi jua umeoa kicheche,na ujue hatabadilika,maana hakujifunzia...
25 Reactions
204 Replies
85K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…