ARJI
Member
- Jul 25, 2017
- 41
- 53
Nimepata mwanamke mwenye sifa zote nilizokua natafuta tatizo kanizidi umri miaka mitatu naomba ushauri wenu sababu kuna wakubwa zangu humu wamepitia mambo mengi naomba kujua ni madhara gani au changamoto gani nitazipata endapo nitaoa mwanamke aliyenizidi umri?
Nategemea ushauri wakunijenga sio kashifa, natanguliza shukrani.
Nategemea ushauri wakunijenga sio kashifa, natanguliza shukrani.