Njooni tupeane trick ya kunasa watoto wa kishua hapa..

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,103
26,982
Wakuu habari..

Kuna uzi humu ulikuwa ukitembea kuhusu kuwaasa watu kutooa katika familia maskini/fukara kwa hoja kwamba umaskini unaambukiza haraka sana kuliko utajiri.

Ikizingatiwa kwamba familia zetu nyingi ni hoehae, hivyo chance ya kuangukia huko inabaki kuwa kubwa.

Ebu njooni tupeane mbinu na maujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be real
Smart Upstairs
Hustler
Uwe na Cash kiaina Siyo akikuzuga leo nipeleke Five star hotel huna hata Meer
Uwe na Successful career /Siyo lazima sana Ila uwe na kazi Ya kufanya Inayokuingizia kipato
Mtanashati
Msafi
Funny/Joker
La mwisho usipende kulelewa, Kama nia yako ni kuwapata upate Cash Unazingua

Kuna watatu Hivi Wapo hapo Ifm kama upo Dar wao kila siku Bata batani Ni ma first Year nkugee number 🥴🥴🥴
 
Hapana mkuu lengo sio kulelewa...
Nakuja pm
Be real
Smart Upstairs
Hustler
Uwe na Cash kiaina Siyo akikuzuga leo nipeleke Five star hotel huna hata Meer
Uwe na Successful career /Siyo lazima sana Ila uwe na kazi Ya kufanya Inayokuingizia kipato
Mtanashati
Msafi
Funny/Joker
La mwisho usipende kulelewa, Kama nia yako ni kuwapata upate Cash Unazingua

Kuna watatu Hivi Wapo hapo Ifm kama upo Dar wao kila siku Bata batani Ni ma first Year nkugee number

Tupia nambo moja ya chuma cha IFM kwenye Pm yangu mkuu
 
Teh nawaona jinsi mlivyomuingiza chaka mwenzenu😀😀

Siri ni moja tu
Jifanye humshobokei hata kidogo mjibu majibu ya karaha kidogo, short and clear. Muache na maswali mengi yasio majibu, be undefined.
Kinadada wanapenda vitu unique, they are picky!! Jifanye mgumu( Yaani you don’t fall easily by the look or whatever)

Come back with my present!🤗
 
Teh nawaona jinsi mlivyomuingiza chaka mwenzenu

Siri ni moja tu
Jifanye humshobokei hata kidogo mjibu majibu ya karaha kidogo, short and clear. Muache na maswali mengi yasio majibu, be undefined.
Kinadada wanapenda vitu unique, they are picky!! Jifanye mgumu( Yaani you don’t fall easily by the look or whatever)

Come back with my present!
Hili ndo jibu sasa...tunaita "play hard to get".

Halafu we toka ulivyonibagua sitaki hata kuiona I'd. Yako humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa zaidi ni kuwa Smart kichwani, Kuwa unajali. Uwepo wako kwenye maisha yake uwe Visible and Defined
 
Wakuu habari..

Kuna uzi humu ulikuwa ukitembea kuhusu kuwaasa watu kutooa katika familia maskini/fukara kwa hoja kwamba umaskini unaambukiza haraka sana kuliko utajiri.

Ikizingatiwa kwamba familia zetu nyingi ni hoehae, hivyo chance ya kuangukia huko inabaki kuwa kubwa.

Ebu njooni tupeane mbinu na maujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hohe hahe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom