famicho
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,252
- 2,985
1. Wakati shule zikikaribia kufunguliwa
2. Wakiwa wanakaribia kurudi makwao(kama alikuja likizo, kutembelea ndugu etc)
3. Wakati wa sikukuu
4. Outings kama vile matamsha mfano marathoni ilofanyika Chuga.
5. Semina na mafunzo mbalimbali
Ukiwa kama mzazi, mlezi au mume hakikisha hizi nyakati unakuwa nazo macho.
Ongezeni
Sent using Jamii Forums mobile app