Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau wa liwale mjini wapi kuna viwanja vizuri vya kutulizia mawazo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
2K Views
hivi kuna aliyewahi kupitia hili! unakua na mwanaume au mwanamke ambaye mkigombana kidogo tu anakutushia kuanzia leo mi na wewe basi mara nitambue kama mzazi mwenzio tu kuanzia leo hivi hii...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Nilichojifunza katika mahusiano,kama kula yako ni ya tabu usiingie kwenye mahusiano, utagongewa mpaka ichakae.Tafuta kwanza pesa hata ya kubadilishia mboga ndio uingie kwenye mahusiano...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Virus vya COVID-19 vimepelekea uchumi kuwa mgumu sana na imepindukia hasa kwa watu wasio na vyanzo na kipato maalumu. Nawatahadharisha wanaume wazee wa michepuko, sasa kuna mtundo wa wadada wengi...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari za leo wakuu. Ebana kuna jamaa kapigwa tukio na Mama yake mzazi na mke wake. Mbaya zaidi akashuhudia usiku live. Tukio lenyewe ni kulogewa mtoto. Ndio!! Yaani mtoto aliezaa na mkewe...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa mahali na rafiki yangu mmoja aitwaye Alan (sio jina lake halisi)tunabadilishana mawazo ya hapa na pale. Katika maongezi yetu alianza kunielezea wasiwasi wake juu ya...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu karantini challenge inaendaje. Moja kwa moja kwenye uzi,nakumbuka mwaka 2012 nikiwa Dar mwezi wa nane nimemaliza chuo tumeagana na masela mabibo hostel nimeenda kwa dingi mkubwa kimara...
19 Reactions
73 Replies
15K Views
Kama kichwa kinanavyojieleza, umeshawahi kwenda kupima na mwenzi wako majibu yakawa mabaya kwa mmoja wenu!?? Je ulifanyaje baada ya kupewa majibu...
12 Reactions
95 Replies
13K Views
Poleni na corona guys tujihadhari huko marekani watu weusi wanaongoza kwa vifo ni kwasababu wanaongoza pia kwa idadi ya watu walio na kisukari na magonjwa yanayofanana na hayo so take precautions...
5 Reactions
86 Replies
6K Views
Preface:Waungwana, hii Reseacrch ilifanywa na Invisible mnamo 27.10.2007, wengi wetu tulikuwa hatupo JF, na wakati huo ililetwa kama Joke au Gossip. Naomba NII'PASTE' sasa tena hapa MMU baada ya...
16 Reactions
155 Replies
11K Views
Hauna tatizo la uzazi mna watoto mna pendana wala hamkuwa na shida ila kaongeza nje huko... Mtuambie kwenu ingekaaje? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Poleni na corona wanawake wotee wanaume wapambane tu kiume hakuna haja ya kuwapa pole. Nimeshangazwa sana na hawa wanaume wa kileo wazee wazima na mvii zao na wake zao nyumbani wanapigana bar...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Sina mengi ya kusema. Sitaki kuwa selective maana upweke unaniua. Kama we ni mwanamke, umri 20 - 27, dini yoyote, rangi yoyote basi njoo tuyajenge. Mimi ni Muajiriwa. Umri wangu ni miaka 28...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nina rafiki yangu mmoja ambae ni rafiki tu wa ukubwani tumekutana kazini, huyu rafki yangu tumepangisha wote sehemu moja (vyumba tofauti), rafki huyu anaye mpenzi wake ambae huwa anakuja...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Yan hakuna kitu kinaniudh kama hcho akiona hata kijongoo anpga kelele nimwokoe wakati ni m2 mzima kabisa 32 yrs. Wanawake wa mijini hawa duh
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello Fellaz, Nakumbuka ni kama wiki hivi imepita, Ilikuwa mishale ya kumi na mbili asubuhi nakwenda ofisini. Ile nakunja kona mitaa ya zantel pale kuelekea msasani naona mtoto mweupe kavaa...
26 Reactions
120 Replies
26K Views
Habarini za leo wakuu, Naombeni tuorodheshe sifa za super woman wakuu ili dada zetu wapate kuzitambua maana kumezuka wimbi la baadhi ya wadada wapanga mistari barabarani wanawake tegemezi hadi...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Habari wanaJukwaa, Napenda kujua ni nini hasa kinawakuta wanawake au huwa wanamaanisha nini pale mnapokuwa mwenye game halafu katikati ya game, mwanamake anasema amechoka. Make hali hiyo huwa...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Kwa heshima na tahadhima,uzi wetu pendwa wa kula tunda kimasihara mbona siuoni??mmeuficha wapi?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…