Aen Urner
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 388
- 380
Habari wanaJukwaa,
Napenda kujua ni nini hasa kinawakuta wanawake au huwa wanamaanisha nini pale mnapokuwa mwenye game halafu katikati ya game, mwanamake anasema amechoka.
Make hali hiyo huwa inaniboa kweli unakuta ndo kwanza unatafuta bao la 2, ghafla jitu linasema limechoka sijui nini.