Swali la ugomvi:Je ulishawahi kwenda kupima HIV na mwenzi wako ukakuta mwenzi ameathirika!?

wiseman734

Senior Member
Apr 29, 2018
137
210
Kama kichwa kinanavyojieleza, umeshawahi kwenda kupima na mwenzi wako majibu yakawa mabaya kwa mmoja wenu!?? Je ulifanyaje baada ya kupewa majibu!??

--------------------------------------------------------

Ilikuwa 2017 mwezi wa sita tarehe 27 nikaopoa chombo, nikpiga kwa kutumia zana! Asubuhi condom ikapasuka bhana.. Nikamwambia tukapime! Nikakomaa akawa hana namna! Tukaenda kutolewa damu tukakaa tukingoja majibu! Halafu hapo nimekamia game tena nawaza naenda kula kavu kavu! After 30 minutes si akaitwa akatolewa damu tena!! Muda wa majibu ukafika demu ameungua!!! Hakushtuka wala hakuwa na wasisi wasi!!! Nusu nizimie! Nikapewa PEP for 27 days!!!

Mpaka 2017 inaisha nilipima ngoma more than 20 times mpaka pale hospitali walinikataza nisipime maana it was too much

Pia nilisoma makala nyingi mnoo kuhusu HIV/AIDS

Sithubutu tena
 
Yuko rafiki aliopoa chombo,usiku kagegeda...akapata ajali mpira ukapasuka,akawa anatembelea ring

Asubuhi wakanywa supu,demu kamkubali jamaa ,akamwombe wakacheki afya ili jamaa ambinafsishe mazima....wakaenda na wakakubaliana
Majibu wapewe pamoja

Walikua wa kwanza kabisa asubuhi,wanashangaa wanakuja watu wanapima wanaitwa wanapewa majibu wao hawaitwi

Jamaa yangu akatia timu ndani kuuliza vipi?...wakamwambia asubiri kuna mambo hayajakaa fresh ila asiwe na wasiwasi

Mara ngaa! Wakaitwa...docta kataka consent yao Tena kwa Mara nyingine kama wako tayari kuchukua majibu pamoja...wakasema ndioo!

Basi dokta kuwaambia kuwa bibie alikua kaathirika alikua positive
Binti alilia Sana...jamaa kumdodosa akasema bwana ake alikua dereva wa magari makubwa na ndo atakua kampatia

Jamaa yangu akapewa dawa PEP akaambiwa arudi baada ya wiki 2

Bahati nzuri majibu yakatoka fresh

UKIMWI UPO NA UNAUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi dawa naziskiaga eti ukifanya na mwenye ukimwi ukiwahi ukimeza ndan ya masaa 72 eti haupati naskia unameza kama dozi kumbe kuna ka ukweli

Mabaharia wakishaanza kuzipata hzo dawa ki rahisi ni mwendo wa kavu tu CarloJesus,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu nitunze, nilijua kupima ni kama malaria tu, siku hiyo kuna kaka akaniuliza umeshawahi kupima afya, nikamwambia imepita miaka 3 au 4 toka nipime, akaniukiza tena upo single ndy, mara ya mwisho ku do lini.......kimya, akaniambia leo tunaenda kupima na wewe twende, nikamwambia poa, kufika hakuna foleni kuna watu wawili tu, wenzangu wote wakapima mimi pichu inabana si mchezo, nikaenda toilet, kurudi nasubiriwa nikazama kwa doctor, kunihoji maswali pale nikapima nipo Fresh.

Jamani UKIMWI upo, maana pale alikuja mdada full nikabu haongei na mtu yupo busy, na ilikuwa ukikutwa nao unatoka na Doctor kwenda kuaanza clinic sina hamu mimi.

My MOTTO, SIMUAMINI MWANAUME HATA KWA KUMTAMANI MAANA STRESS ZA KUPIMA SI MCHEZO.
 
Back
Top Bottom