Wadada mliozaa na wanaume za watu

Hakuna uhusiano kati ya title na Uzi wako.

Title nilidhani hapa ndani nitakutana na kichambo cha kutosha ila matokea yake sasa .....
Ingekaaje kwa mke au mchepuko aliyezaa na mume wa mtu?
Usimlaumu mleta uzi kachapiwa hadi mimba. So stress zinmmaliza mpaka ameshindwa kuweja uzi vizuri

God save us
 
Kwenye heading anauliza wadada waliozaa na waume za watu

Kwenye maelezo anauliza wadada ambao waume zao wamezaa nje

Kazi sana
Hakuna uhusiano kati ya title na Uzi wako.

Title nilidhani hapa ndani nitakutana na kichambo cha kutosha ila matokea yake sasa .....
Ingekaaje kwa mke au mchepuko aliyezaa na mume wa mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom