Umewahi kutahadharishwa na mkeo au mumeo kuhusu kuwa makini na ndugu yake na bado haikusaidia?

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
6,162
8,820
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa mahali na rafiki yangu mmoja aitwaye Alan (sio jina lake halisi)tunabadilishana mawazo ya hapa na pale. Katika maongezi yetu alianza kunielezea wasiwasi wake juu ya mke wake kutoka na shemeji yake, yaani Kaka yake Alan wa damu toka nitoke.

Alan alinielezea namna ambavyo amekuwa akimuonya mkewe juu ya kuwa makini na Kaka yake yule maana anamjua alivyo kipanga, jambo ambalo anasema Mkewe alionekana kumuelewa na kuahidi ya kwamba atakuwa makini lisitokee hilo analohofia Mumewe.

Sasa jambo linalomtia mashaka Bw Alan ni kila anapofika nyumbani na kupiga stori na Mkewe jina la Kaka yake linatajwa mara kwa mara na Mkewe tofauti kabisa na siku za nyuma.

Mke amekuwa akimuonyesha baadhi ya vitu kwenye simu yake na akimuuliza ameyajuaje basi ataambiwa shem ndio kamuelekeza.

Pia Bw Alan amegundua kwamba sio mara zote Kaka yake huyo anapofika hapo nyumbani mkewe atatoa taarifa, na sababu ni kwamba hata pale Kaka yake anaposema atapitia nyumbani kwa Alan, Mke hasemi mpaka aulizwe tofauti na siku za nyuma.

Sasa kinachomuuma zaidi ndugu yangu Alan ni kwamba hayuko tayari kabisa kusikia kwamba Kaka yake yule "kipanga" anapiga Mke wake, anakiri kabisa ya kwamba moyo wake hauna uwezo wa kuhimili hizo taarifa, anasema akisikia ataanguka chini afe ndio maana hayuko tayari hata kumdadisi Mkewe juu ya hofu yake hiyo zaidi ya kurejea kumuonya mara kwa mara kuwa makini na Kaka yake huyo.

Ushauri unakaribishwa maana hata mimi nimejikuta nipo njia panda.
 
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa mahali na rafiki yangu mmoja aitwaye Alan (sio jina lake halisi)tunabadilishana mawazo ya hapa na pale. Katika maongezi yetu alianza kunielezea wasiwasi wake juu ya mke wake kutoka na shemeji yake, yaani Kaka yake Alan wa damu toka nitoke.

Alan alinielezea namna ambavyo amekuwa akimuonya mkewe juu ya kuwa makini na Kaka yake yule maana anamjua alivyo kipanga, jambo ambalo anasema Mkewe alionekana kumuelewa na kuahidi ya kwamba atakuwa makini lisitokee hilo analohofia Mumewe.

Sasa jambo linalomtia mashaka Bw Alan ni kila anapofika nyumbani na kupiga stori na Mkewe jina la Kaka yake linatajwa mara kwa mara na Mkewe tofautu kabisa na siku za nyuma.

Mke amekuwa akimuonyesha baadhi ya vitu kwenye simu yake na akimuuliza ameyajuaje basi ataambiwa shem ndio kamuelekeza.

Pia Bw Alan amegundua kwamba sio mara zote Kaka yake huyo anapofika hapo nyumbani mkewe atatoa taarifa, na sababu ni kwamba hata pale Kaka yake anaposema atapita nyumbani Mkewe hasemi mpaka aulizwe tofauti na siku za nyuma.

Aisee kwanza kabisa huyo Alan ni muoga mkubwa na anahofu za kijnga sana.

Alafu pili kabisa kwa ulivyomuelezea alan haishangazi mwanamke huyo kuendeleza ukaribu na kaka yake inaonekana jamaa hana msimamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote kitu kinachopewa tahadhari ndio watu hutaka kukijua ya kwamba kwa nini kikatazwe.

Hii hata watoto unapo mkataza kitu ndio mara nyingi anakifanya.

Mwendokasi ni hatari ila ndio kwanza watu wanataka wakimbie zaidi bila kujulikana.

Ukiona mtu yuko tofauti kitabia ambazo sio nzuri usipende kumpa tahadhari mpenzio,mkeo kuhusu tabia za jamaa hapo ni lazima siku moja aonje ndio aridhike na katazo lako.
 
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa mahali na rafiki yangu mmoja aitwaye Alan (sio jina lake halisi)tunabadilishana mawazo ya hapa na pale. Katika maongezi yetu alianza kunielezea wasiwasi wake juu ya mke wake kutoka na shemeji yake, yaani Kaka yake Alan wa damu toka nitoke.

Alan alinielezea namna ambavyo amekuwa akimuonya mkewe juu ya kuwa makini na Kaka yake yule maana anamjua alivyo kipanga, jambo ambalo anasema Mkewe alionekana kumuelewa na kuahidi ya kwamba atakuwa makini lisitokee hilo analohofia Mumewe.

Sasa jambo linalomtia mashaka Bw Alan ni kila anapofika nyumbani na kupiga stori na Mkewe jina la Kaka yake linatajwa mara kwa mara na Mkewe tofautu kabisa na siku za nyuma.

Mke amekuwa akimuonyesha baadhi ya vitu kwenye simu yake na akimuuliza ameyajuaje basi ataambiwa shem ndio kamuelekeza.

Pia Bw Alan amegundua kwamba sio mara zote Kaka yake huyo anapofika hapo nyumbani mkewe atatoa taarifa, na sababu ni kwamba hata pale Kaka yake anaposema atapita nyumbani Mkewe hasemi mpaka aulizwe tofauti na siku za nyuma.

Sasa kinachomuuma zaidi ndugu yangu Alan ni kwamba hayuko tayari kabisa kusikia kwamba Kaka yake yule "kipanga" anapiga Mke wake, anakiri kabisa ya kwamba moyo wake hauna uwezo wa kuhimili hizo taarifa, anasema akisikia ataanguka chini afe ndio maana hayuko tayari hata kumdadisi Mkewe juu ya hofu yake hiyo zaidi ya kurejea kumuonya mara kwa mara kuwa makini na Kaka yake huyo.

Ushauri unakaribishwa maana hata mimi nimejikuta nipo njia panda.
Habari wana jamiii, jamani mume au mke anauma sana hasa kuchapiwa huku ukijua, mm namshauli huyu jamaa akawaambie wazazi maana kama kaka mtu zipu yake mbovu familia nzima inajua hilo kwa hiyo aweke kikao na mkewe akiwepo

Baada ya hapo achunguze kinachoendelea,

,Kuna kisa kimoja ilikuwa hivi,

Musa alikuwa na rafiki ambae mpenda wanawake anaitwa said ,sasa said akawa anamtongoza mke WA musa ,mke musa akamwambia musa kwamba said ananitongoza ,musa akamwambia mkubalie na kisha upange nae kukutana mahali Fulani mm nitakuja kuwakamata mke musa akakubali,mwisho wa cku windo likaingia mtegoni sasa baada ya mke WA musa kuingi gesti na said musa akiwa anaju kila kitu nae akawa anakwenda kweny fumanizi

Mwanamke akijua muda wowote jamaa anaingi musa kwa haraka alikowa nayo alikuwa anaendesha gari hovyo na kwa kasi sana akakamatwa na polisi malumbano yalikuwa marefu mapaka wakafika polis ndio akaachiwa ,kula mwanamke akashindwa kujitetea akaliwa bila kinyongo musa anafika geati said ameshaondoka mkewe ndio anajaindaa kuondoka alipouliza kulikoni mwanamke akasema nimeona unachelewa nimemwambia leo nipo ktk cku zangu ameindoka tumepanga cku nyingine,toka cku ile musa hakusikia teeeeena kuhusu habari za said kwa mkewe, [hayo majina sio ya wahusika ni ya kutunga tu]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alan amwambie kaka yake ila yeye alikosea kumwambia mkewe tu kama ndo anatongoza vile
Alan ameshakiri kuwa Kaka yake ni Kipanga sasa atamwambia nini tena?

Alan anaonekana kumuogopa Kaka yake, na anaogopa asijikute anamlaumu Kaka kwa jambo ambalo hana ushahidi wa moja kwa moja.
 
Aisee kwanza kabisa huyo Alan ni muoga mkubwa na anahofu za kijnga sana.

Alafu pili kabisa kwa ulivyomuelezea alan haishangazi mwanamke huyo kuendeleza ukaribu na kaka yake inaonekana jamaa hana msimamo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasili Alan ni muoga.

Na si tu ni muoga wa ugomvi bali hata uoga wa kukabiliana na taarifa ngumu zinazoshtua moyo, jamaa anapitia kpindi kigumu sana kwa kweli.
 
Ningetamani nimshauri Alan azuie ukaribu wa Mkewe na Kaka yake lakini nahisi kama ameshachelewa.
 
Habari wana jamiii, jamani mume au mke anauma sana hasa kuchapiwa huku ukijua, mm namshauli huyu jamaa akawaambie wazazi maana kama kaka mtu zipu yake mbovu familia nzima inajua hilo kwa hiyo aweke kikao na mkewe akiwepo

Baada ya hapo achunguze kinachoendelea,

,Kuna kisa kimoja ilikuwa hivi,

Musa alikuwa na rafiki ambae mpenda wanawake anaitwa said ,sasa said akawa anamtongoza mke WA musa ,mke musa akamwambia musa kwamba said ananitongoza ,musa akamwambia mkubalie na kisha upange nae kukutana mahali Fulani mm nitakuja kuwakamata mke musa akakubali,mwisho wa cku windo likaingia mtegoni sasa baada ya mke WA musa kuingi gesti na said musa akiwa anaju kila kitu nae akawa anakwenda kweny fumanizi

Mwanamke akijua muda wowote jamaa anaingi musa kwa haraka alikowa nayo alikuwa anaendesha gari hovyo na kwa kasi sana akakamatwa na polisi malumbano yalikuwa marefu mapaka wakafika polis ndio akaachiwa ,kula mwanamke akashindwa kujitetea akaliwa bila kinyongo musa anafika geati said ameshaondoka mkewe ndio anajaindaa kuondoka alipouliza kulikoni mwanamke akasema nimeona unachelewa nimemwambia leo nipo ktk cku zangu ameindoka tumepanga cku nyingine,toka cku ile musa hakusikia teeeeena kuhusu habari za said kwa mkewe, [hayo majina sio ya wahusika ni ya kutunga tu]

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh, inasikitisha maana hapo masikini Musa kakuta manyoya.
 
Alan ameshakiri kuwa Kaka yake ni Kipanga sasa atamwambia nini tena?

Alan anaonekana kumuogopa Kaka yake, na anaogopa asijikute anamlaumu Kaka kwa jambo ambalo hana ushahidi wa moja kwa moja.
hapo ndo atagongewa kirahisi kabisa. Kama vip na yeye awe karibu na shemej yake
 
Habari wana jamiii, jamani mume au mke anauma sana hasa kuchapiwa huku ukijua, mm namshauli huyu jamaa akawaambie wazazi maana kama kaka mtu zipu yake mbovu familia nzima inajua hilo kwa hiyo aweke kikao na mkewe akiwepo

Baada ya hapo achunguze kinachoendelea,

,Kuna kisa kimoja ilikuwa hivi,

Musa alikuwa na rafiki ambae mpenda wanawake anaitwa said ,sasa said akawa anamtongoza mke WA musa ,mke musa akamwambia musa kwamba said ananitongoza ,musa akamwambia mkubalie na kisha upange nae kukutana mahali Fulani mm nitakuja kuwakamata mke musa akakubali,mwisho wa cku windo likaingia mtegoni sasa baada ya mke WA musa kuingi gesti na said musa akiwa anaju kila kitu nae akawa anakwenda kweny fumanizi

Mwanamke akijua muda wowote jamaa anaingi musa kwa haraka alikowa nayo alikuwa anaendesha gari hovyo na kwa kasi sana akakamatwa na polisi malumbano yalikuwa marefu mapaka wakafika polis ndio akaachiwa ,kula mwanamke akashindwa kujitetea akaliwa bila kinyongo musa anafika geati said ameshaondoka mkewe ndio anajaindaa kuondoka alipouliza kulikoni mwanamke akasema nimeona unachelewa nimemwambia leo nipo ktk cku zangu ameindoka tumepanga cku nyingine,toka cku ile musa hakusikia teeeeena kuhusu habari za said kwa mkewe, [hayo majina sio ya wahusika ni ya kutunga tu]

Sent using Jamii Forums mobile app
masikini musa
 
Alan bana!! mambo gani hayo.....unaogopa kukabiliana na hali halisi...ok kaka yako anajimwaya mwaya kwa mkeo.....na ukijua ushasema utakufa...ukufe kakako ahamie kabisa.....kuwa wa KIUME alan....mpaka majirani wanakushangaa...ila wanahisi umemruhusu kaka yako bcoz wewe JOGOO hapandi mtungi......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom