Nimeshangazwa sana na hawa wanaume kumpigania muhudumu

kritika

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
410
1,152
Poleni na corona wanawake wotee wanaume wapambane tu kiume hakuna haja ya kuwapa pole.
Nimeshangazwa sana na hawa wanaume wa kileo wazee wazima na mvii zao na wake zao nyumbani wanapigana bar kwasababu ya muhudumu, hivi wanaume akili mmepeleka wapi? Lini mtakuja kujitambua hata kidogo mbu@@@zi nyie,hamna aibu kabisa mnachaniana hadi mashati kupigania vidada visivyoeleweka tena vya umri mdogo,vichwa vyenu mnabebea ubongo kama pambo tu siku hizi?? inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Mbuzi hawa hapa wameshapatana
IMG-20200417-WA0000.jpg
 
Poleni na corona wanawake wotee wanaume wapambane tu kiume hakuna haja ya kuwapa pole.
Nimeshangazwa sana na hawa wanaume wa kileo wazee wazima na mvii zao na wake zao nyumbani wanapigana bar kwasababu ya muhudumu, hivi wanaume akili mmepeleka wapi? Lini mtakuja kujitambua hata kidogo mbu@@@zi nyie,hamna aibu kabisa mnachaniana hadi mashati kupigania vidada visivyoeleweka tena vya umri mdogo,vichwa vyenu mnabebea ubongo kama pambo tu siku hizi?? inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo vidada vitamu sana.
 
Nini kilitokea? Weka kisa kizima basi!
 
Unaweza kuta hawa wanao kujibu hovyo hovyo ndiyo hao hao waliokuwa wanapigana huko, hapa wana chua maumivu ya ngumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzanua tuna shida sana! Wamepigana wanaume huko bar, kwa kumgombania mhudumu! Cha kushangaza wewe umeumia kweli kweli, na kutokwa na mapovu kama yote!

Halafu badala ya kumlaumu huyo mhudumu mwenzako aliyewasababisha hao wanaume wamgombanie kwa sababu ya tamaa na uongo wake, unawalaumu wanaume. Pole sana.
 
Poleni na corona wanawake wotee wanaume wapambane tu kiume hakuna haja ya kuwapa pole.
Nimeshangazwa sana na hawa wanaume wa kileo wazee wazima na mvii zao na wake zao nyumbani wanapigana bar kwasababu ya muhudumu, hivi wanaume akili mmepeleka wapi? Lini mtakuja kujitambua hata kidogo mbu@@@zi nyie,hamna aibu kabisa mnachaniana hadi mashati kupigania vidada visivyoeleweka tena vya umri mdogo,vichwa vyenu mnabebea ubongo kama pambo tu siku hizi?? inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahahahah eti mbuzi nyie
 
Acha dharau,kwani muhudumu hana haki/hadhi ya kugombaniwa?
Ndio mana upo usemi wa adui ya mwanamke ni mwanamke mwenyewe,yaaani umeumiiiiiiia mwanamke mwenzio kugombaniwa

Kimsingi ukiona hadi muhudumu kagombaniwa ila wewe hujawahi kugombaniwa ujue huna mvuto/muhudumu kakuacha mbali sana kwa mvuto

#KunaMtuAtakujaKusemaMimiNiMuhudumu
#p0vU😤
 
Poleni na corona wanawake wotee wanaume wapambane tu kiume hakuna haja ya kuwapa pole.
Nimeshangazwa sana na hawa wanaume wa kileo wazee wazima na mvii zao na wake zao nyumbani wanapigana bar kwasababu ya muhudumu, hivi wanaume akili mmepeleka wapi? Lini mtakuja kujitambua hata kidogo mbu@@@zi nyie,hamna aibu kabisa mnachaniana hadi mashati kupigania vidada visivyoeleweka tena vya umri mdogo,vichwa vyenu mnabebea ubongo kama pambo tu siku hizi?? inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto ukikua utaelewa
 
Kahudumu kenyewe ukute uchuchu umesimamia ukucha, kakivaa tisheti inainuliwa juu na viniples. Ntakuua mbwa we nikikukuta hapo
 
Back
Top Bottom