Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam, Shalom!! Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia). Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Unapokua na kuwa Baba unaanza kuona picha tofauti. Hapa ndo unaanza kuona kuna kitu kinaitwa Afya ya Akili . Unapowatazama watoto wako Unapoiwaza kesho ya watoto wako. Uku ukidaiwa bills ...
11 Reactions
11 Replies
631 Views
Huwa na mazoea ya kwenda bar flani kugida sasa Kuna mdada huwa ananihudumia Leo kaja kukaa karibu yangu ananihudumia vizuri kama kawaida maswali yakaanza sasa Kwanini unakunywa beer ? Nikamjibu...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Kumuokoa mwanaume, mpe michongo.. Kumuokoa mwanamke, mpe mwanaume..
5 Reactions
10 Replies
332 Views
MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu, Mara nyingi tunasherehekea "ujauzito" na "kujifungua," lakini tunasahau kuwa kuitwa mzazi ni mkataba wa maisha yote ambao hauna likizo. Uzazi bora hauanzi wodini...
4 Reactions
8 Replies
426 Views
Wakuu tuwatakie kheri ndugu zetu wote waliouwawa MO29 MUNGU AWAHURUMIE NA KUSAMEHE DHAMBI ZAO. Kuna mdada nlimsaidia mtaji wa kibiashara kidogo angalau apambane kupata chochote kitu yeye mtoto...
5 Reactions
54 Replies
997 Views
Nilikuwa miongoni mwa wale Vijana waliokuwa na msimamo wa kukataa ndoa. Leo ninaandika kwa unyenyekevu na toba, nikikiri kuwa nilikosea. Tarehe 22 / Dec/ 2025 nilipata ajali ya bodaboda, tukio...
30 Reactions
68 Replies
3K Views
Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii Yaani...
14 Reactions
92 Replies
4K Views
Hakika kina mama, hii mikopo mnayoichukua bila ya kuwaarifu waume zenu ni umafia. Nje ya usaliti, Nyumba na ndoa nyingi zinavunjika siku hizi kwa sababu ya mikopo inayochukuliwa na wanawake kwa...
5 Reactions
19 Replies
505 Views
Nilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano. Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai...
6 Reactions
26 Replies
777 Views
Ninaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu. Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Wakuu kuna binti mtoto wa alfu mbili nimemuelewa sana, nimempenda na nimemwambia mara kadhaa adhma yangu ya kumuoa, hana simu, yeye huwa namsubiria akija kanisani ndipo nionane nae Siku za mwanzo...
9 Reactions
66 Replies
2K Views
Kuna jamaa alikuwa na mahusiano yenye umri wa takribani miaka kumi mpaka wakulungwa wakaamini hawa ni kifo tu kitawatenganisha, Ila huwezi amini message moja tu ya simu iliua haya mahusiano...
11 Reactions
24 Replies
538 Views
Kupiga goti ni ishara ya weakness
14 Reactions
116 Replies
1K Views
Kuna mshkaji hapa juzijuzi alienda mahali tulimalizia o level akakutana na msichana ambaye alikuwa rafiki yangu muda huo, yule dada akasema amenimiss mno, ikabidi mshkaji anipigie ili niongee na...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Huo ndio ukweli,nami ukweli huo huutumia kwa vitendo,na hata tunaponyanduana na hakikisha tunapeana furaha haswaaaaaaaaaa
1 Reactions
1 Replies
158 Views
Nakumbuka wakati niko form 2 ndiyo nilivyoanza kuwaka hizi tamaa za wanawake basi kuna kabinti tulisoma nako shule ya msingi nikawa nimekazidi darasa moja, inamaana yeye alikuwa form one na kila...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Back
Top Bottom